Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tungeshinda atleast mechi mbili tulizopoteza, top 4 ingekuwa ni uhakika.
 
Yan mwishon kabsa ndy tunaona umuhimu wa mech zilizopita...game ya Arsenal, wolves tungeshinda, ile game ya Burnley tungeshinda badala ya droo ya 2-2 hlf everton wana kaubish so tungetoa droo..city lazima angeshinda, saiv kuombeana njaa na kutesana kifala kusingekuwepo
 
Mancity anawachalaza,

Mnakutana na Chelsea mnagawana nafas ya 6&5

Then zinabak mech 2, Arsenal anakuwa anahitaji kushinda mech 1 tu, ya Burney home,

Cheltako na nyumbu mnaelekea futuhi
Arsenal n kikund cha wahun walichojikusanyaa kuchheza mpiraa ilii wasiuliwe na wanachi wenye hasira kaliiiii
 
Tungeshinda atleast mechi mbili tulizopoteza, top 4 ingekuwa ni uhakika.
Haya tunayasema baada ya wenzetu nao kupoteza game zao...
Jibu sahihi tunalikumbuka wakati tumeshakusanya pepa ya mtihani, game ya leo itatupa mwanga mzuri kama tutashinda .. Tuna nafasi bado
 
De gea
Young
Bailly
Lindelof
Shaw
Herrera
Pogba
Matic
Mata
Rashford
Lukaku
... Tukutane OT
 
OGS angeingia kichwani kwangu, Alexis angeanza hili game. Game na Chelsea linahitaji nguvu ya wingers. Mara nyingi Chelsea wanafungwa magoli ya cross. Ndicho alichokuwa anafanya Rooney.
 
Kuna watu walikuwa wanamsakama Jose alipoingiza beki kwenye game anayoongoza na anahitaji ushindi kwa udi na uvumba

Hapa naona anatoka Aguero anaingia Jonhstones

Anatoka Sterling anaingia Otamendi

Timu ina Kompany, Laporte, Jonhstones, Otamendi, Zichenko, Walker

This is called Pragmatism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…