Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashetani mashoga
 
These are the same players who threw Mou under the bus, they will do exactly the same to Ole. It's just a matter of time.

Ole ataanza kuhukumiwa kuanzia mwisho wa msimu. Mwache aendelee kuwachekea wachezaji.
Hawa wachezaji wasipotolewa.. circle ile ile itaendelea. Kibur wanacheza vixur siku wakitaka. Tabia hii imeanzishwa na pogba
 
Alternative Premier League Fair Play table
Liverpool in the top, Arsenal 15th and Man United relegated
Hii table inatolewa na FA kwa kuzingatia points za kinidhamu wakati wa ligi, sina uhakika

Premier League Fair Play table

1. Liverpool, 188 points

2. Man City, 208 points

3. Chelsea, 244 points

4. Spurs, 246 points

5. Crystal Palace, 248 points

6. West Ham, 256 points

7. Newcastle, 258 points

8. Huddersfield Town, 262 points

9. Bournemouth, 266 points

10. Cardiff City, 272 points

11. Everton, 276 points

12. Leicester City, 284 points

13. Fulham, 288 points

14. Burnley, 292 points

15. Arsenal, 302 points

16, Brighton, 302 points

17. Wolves, 304 points

18. Southampton, 328 points

19. Manchester United, 362 points
 
Aiseee umenivunja mbavu kichizi Mkuu kwamba Man U toka kuwa mashetani mpaka manyau
 
Mpaka sasa nadhani tutakubaliana kuwa,

Man Utd wana tatizo kubwa kuliko, tatizo la kocha

Jose was right through and through
 
Tatizo la Man United hili hapa - Sikilizeni hapa kupata ukweli kuhusu Club yenu...msitafute mchawi.

 
Tunahitaji watu wazima wenye ukomavu wakae Ktk mabawa(wings)...na striker mwenye jicho la Nyavu
 
Mpaka sasa nadhani tutakubaliana kuwa,

Man Utd wana tatizo kubwa kuliko, tatizo la kocha

Jose was right through and through
Mou aliposema timu inahitaji kusajili watu walimuona mou anazngua mbabaishaji wengne wakasema timu ina wachezaji weng sn haina haja yakusajili yy tu na mamifumo yke mabovu ndo mana timu haipati matokeo. Kocha gan anagombana tu na wachezaji wakasahau kuwa miongoni mwa watu wasiopenda unafiki ni mou kwamba ukzngua anakuchana live kuwa umezngua na mechi ijayo huchezi ss kuna wachezaj hawatak kuambiwa ukweli ndo wakawa wanagombana kila cku.
 
Mou alisema pogba ni kirusi kwny timu tukachukulia poa poa lkn ss hv mou ameondoka lkn pogba ni kirusi kweli kwny timu. Mpira wenyew ss hv anacheza wa hovyo lkn anataka 500k kwa wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…