Hapa naweza kosahihisha kidogoLiverpool alishaukosa ubingwa toka alivyoshindwa kumfunga City
Kwahiyo Liverpool alitegemea apatie ubingwa kwa mgongo wa MU? Thubuti
Leo ndugu zangu wa Liverpool msishangae ,assists za magoli ya Man city zote akatoa Smalling.
Utd fan today
Liverpool ndio zaidiIt pain to both sides ,man u and liverpool
You must be disappointed broo
Haya mateso ya dakika 90 wao wanayaishi kila weekend.
Aisee, tuwape heshima yao.
Vip arudi au?Angekuwepo Mournho hii game ingeisha droo au city apigwe. Hii mambo ya nje-ndani Mournho hanaga na united isitoshe yupo home
Duh nimeshabikia man u kwa dakika 90 nimeteseka sana sasa sijui washabik wa kudumu wa man u wanaishije
Lingard ni mjinga kupindukiaaa
Sasa wale wapenzi Wa United murudi kuipa support Barcelona.....
Nyie mmeyaishi kwa miaka 30 au mnasahau mkuu
Imagine arguing with Liverpool fans, your heads are full of dust as your trophy cabinet.Kamzuiaje?pambaneni na hali zenu.kwani ligi imeisha leo
Yah mkuu,muwe na Barcelona mwanzo mwisho....Tutawatia ma livafool pale machinjioni