Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na bado hapo wanamtaka Sancho,Rice na Wan Bisaka + Odoi wanampigia hesabu. Ole anamfatisha ferg wakati mwenzie alifanikiwa zaidi kipindi uwekezaji haupo kama ilivyo leo
Wakati wa waingereza wapambanaji wenye vipaji haupo tena.

Waliobaki ni kujazwa ujinga na media zao.
 
Ni kwasababu msimu huu mmepata uelekeo.

Ila mashabiki wengi wa LFC walishamchoka Klopp.
 
Wakati wa waingereza wapambanaji wenye vipaji haupo tena.

Waliobaki ni kujazwa ujinga na media zao.
Kipindi kile fergie anasajili wachezaji wa kawaida sababu tayari tuna backbone ya timu, kuna Giggs, scholes, Rooney, ferdinand, Garry neVille etc. Hata ukisajili mchezaji wa kawaida bado timu inakuwa nzuri sababu una majembe wazoefu.

Sasa timu ipo ipo tu hata haieleweki, timu moja kuna wachezaji wa kila namna, kila mchezaji na mfumo wake aliouzoea, hakuna identity kabisa.
 
Welcome to the gang! I can imagine what it feels like. We at #LFC have said this for 28 years now.
#ManUtd fans had a good laugh at us. And now, for 6 yrs we seem to be in the same boat.
Our 28 was aslo 6 once, you'll find out soon.
#YNWA
...For Liver THE WAIT IS STILL ON, don't be carried away by your current results, the infamous Gerrard slip will catch up with you sooner than later...
 

Mkuu £250m ujenge Timu??? Hapo ni Wachezaji 3 tu tena wa Kawaida Kama Sancho na Nicolas Pepe.

Kumbuka Kuwa Beki yeyote sasahivi ambaye ni aina ya kuanzia Koulibaly, Di Ligte, VVD, Laporte n.k wanaanza na £75m+, Wakati Man U munahitaji 2 hao wa kati.

Ukija kianzia Midfield na Washambuliaji wa Kiwango cha ushindani si cha kina Dembele, Mbappe, Coutinho, Neymar n.k.
Ni chakina Sadio Mane tu basi wanaanza na £80m.

Mido zetu za Kawaida za kina Fred na Fabinho kwasasa zinagonga £60m.

Halafu unataka ujenge Timu inayohitaji zaidi ya Wachezaji 5 wapya Kwa £250m?

MKUU UNATANIA
 
Wakati wa waingereza wapambanaji wenye vipaji haupo tena.
Waliobaki ni kujazwa ujinga na media zao.

Nadhani Waingereza Wa Mwisho Wapambanaji Kustaafu walikuwa ni Rooney na Gerrard baada ya kutanguliwa na Kaka zao kina Schools, Lampard, Terry, Rio, Beckam n.k.
 
Hatutaki hata sare. Acha man city ashinde.
Hamna shabiki kindakindaki wa Manchester united anayetaka Liver ishinde epl. Msimu huu kwa Manutd sio mzuri ila mashabiki wake wanaweza wakawa na furaha mwishoni kama liver haitachukua ubingwa. Ni matusi na dharau kubwa liver kubeba ubingwa tena kupitia mgongo wa Manu. Hizi timu mbili upinzani ni zaidi ya uwanjani.


FULL ARTICLE.
 
kwa moyo mweupe mimi sitamani Liverpool ashinde kabisa.
Bora tufungwe na man city.
 

Burnley na Leicester wanatutosha kwani tunajuwa fika Manure hata mumkomalie City atawapiga nyingi tu hamuna ujanja.

Ukweli ni kwamba Man City hatwafunga Kwasababu mumemuachia, bali atawagonga nyingi kwasababu ya ubovu wenu na ubora wake.

Musitafute visingizio kuwa akiwapiga nyingi eti mumemuachia!
 
...For Liver THE WAIT IS STILL ON, don't be carried away by your current results, the infamous Gerrard slip will catch up with you sooner than later...

With the current state of affairs at OT, ManU is on the similar path that attributed to the fall of Liverpool from glory. Change of managers, signing of mediocre players, plethora of underperforming players etc.
This is year 7 and counting..........with no end on the horizon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…