Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaah hamna bana. Msimu ujao tukibadili madhaifu kadhaa mtapakimbia hapa. Timu chiiii juuuu kule chatini
Pole bhana Ile vumilia tu me nilishakwambia hii timu imeshawekwa makumbusho tayari imebaki kua timu ya kihistoria ila kutegemea eti itakupa ubingwa wa maana sahau
 
Maslah yapo ila kuna ka ugonjwa kanawapata wachezaji wa EPL kukimbilia La liga na wakifika huko wachache sana wanaoendeleza kasi zao na kujutia maamuzi yao
Wanataka kupata mafanikio ambapo kwenye timu zao wanaona hawawezi kuyapata
 
Poleni sana, msiwaze sana.

Mtafanya transfers offseason, changamoto ni kupata wachezaji wazuri wakati hamchezi UEFA.

Ila nawaombea mechi zilizobaki mshinde zote.
 
Haswaa. Na nilishngaa sana kwann team inawaongezea mkataba ilihali viwango vyao ni vya kawaida.. viwango vya kina westbrom huko. Halaf eti tunatarajia watakuwa vizuri.
Chris smalling toka sikunyingi ni mchezaji wa level ya chini ila bado wanamkombatia sababuya uingereza wake.
√Waingereza wazuri wapo wachache sana kama sterling..hawa akina Rashford,Lingard,Smalling,Jones,Young ni standard za hull city huko..
 
Pogba to los blancos usijali
Mkuu kwakweli hujamtendea haki Shaw kwangu mimi ndo mchezaji pekee anastahili kuwa Man u huyo pogba hana attributes kabisa hajali timu imefungwa passion hamna
 
Daah aiseee kweli tumechuja kila siku mfano tunaotolewa na liver . hawa hawa wanaosaka taji la EPL kwa miaka karibu 30 duh
Madhaifu yapo mengi sana na kuyafix itachukua muda kama inavyowachukua liver pia muwe na uvumilivu haswa 😁😁😁
 
Na tatizo wanapokimbilia wanayapata ila kwa furaha ya muda maana wanajikuta kasi yao si swa na timu husika
Wanataka kupata mafanikio ambapo kwenye timu zao wanaona hawawezi kuyapata
 
Na tatizo wanapokimbilia wanayapata ila kwa furaha ya muda maana wanajikuta kasi yao si swa na timu husika
Kipi bora sasa, wabaki kwenye timu kama Man U wanapoendana napo kasi au wakapate mafanikio kwa furaha ya muda mfupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…