Tatizo kuu ni kocha, Ole hakuleta kitu kipya zaidi ya kutembelea kivuli cha Furgie
Van Gal kama mwezi uliopita alisema Ole hakubadilisha kitu, mfumo ni ule ule wa Mou wa kupaki mabasi na kuvizia ku counter attack. Wins zote walizopata under Ole ni kwa njia hiyo. Sasa wameshtukiwa na hio mbinu don't work any more
FT: 4-0
Kocha sasa inabidi ajifunze hapa..hiki kikosi cha kipindi cha pili ndio kikosi cha kwanza Man U kwa sasa...ukiondoa ujinga ujinga wa Dalot&Martial, kikosi hiki ndicho kinatakiwa kianze Jamatano dhidi ya City.