Manchester United (Red Devils) | Special Thread

jamani!hapa hakuna wasomaji nini?maana hakuna comment kabisa halafu natumia simu sioni walioko online!anyway matangazo yanaendelea,bado manchester hawajaongeza magoli!ni yaleyale 3!
 
carrick is off,pogda is on!huyu dogo alikuwa anakaa mwananyamala komakoma!nashangaa eti wanasema ni mfaransa!
 
United needs to score more to catch up the goal difference with Shitty. 4 more goals are needed right away.
 
Game over. United at the top with 4 points clear of Shitty.
 

Kaka ligi imeenza Rio,Vidic,Valencia walikuwa majeruhi then wakaanza kupokezana Cleverley,Owen,Anderson,Fletcher Nani,Rooney karibia timu nzima ikawa inapokezana.Advantage ni kwamba tuna-fighting spirit na hata tukiwa na majeruhi tuna wachezaji ambao wanaweza kuziba mapengo.Sometimes siamini wazee kama Giggs,Scholes na Carick wanawakimbiza viungo wa timu nyingine
 
Ile 8-2 mlicheza na kikosi dhaifu tu. Na una bahati tumemalizana maana saivi tukikutana hutoki.

By the way, naomba nitoe taarifa mapema kwamba Wolves wanakuaribieni sherehe leo

Pole ,waambie wajaribu tena msimu ujao labda tutakutana nao FA Cup ,wanashuka daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…