hahahahaaaaa matokeo yetu dhidi ya PSG na juventus ugenini yametujaza hamasa ya kuwa tuna uwezo wa kuvuka kikombe cha messi,
muda huo huo pia yametujaza ujinga uliochanganyika na upumbavu ya kwamba tuendelee kutegemea comeback kila hatua.

hizi dakika 4 zilizobakia acha nimuombe muumba wa kenge, panya, sungura, nyumbu, twiga na wengineo ajaalie jordi alba apunguze zile kasheshe zake kama ilivyokuwa mechi ya kwanza.
LEO NAONA FULL MZIKI...LAZIMA WAKAE. LAKINI HAWA MAKOCHA WANAJITAFUTIA KUTIMULIWA WENYEWE, PALE KWA MARTIAL ANGEMUANZISHA LUKAKU AWASUMBUE MABEKI KWA MIPIRA YA JUU..KWA FORWARD ILIYOPO NAONA MIPIRA YOTE YA JUU PIQUE ATAIMILIKI.