Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimeshangaa sana jamaa anaposema Mendy hapig kross vzr,

Huyo Mendy akipiga kross unaweza kupuliza na upepo ukaingia golini,

Pamoja na majeruhi ana assist za kutosha, ni moja kati ya mafullback bora EPL,kwa mechi chache tu alizocheza

Yohana 3:16

Tusimlaumu sana huenda anaangalia mpira LiveScore.
 
Leo dunia itasimama, nadhani kitendo cha Barcelona watu hawataamini pamoja na ubovu wa timu ila leo Barca hachomoki, GG Man United!
 
Nadhani tungepumzisha key players kwa ajili ya kugombea top 4 kuliko kujitia tunaweza kupishana na barca yenye messi ndani,mechi ambayo hata tukishinda tumebahatisha.
Yaani unataka tupumzishe wachezaji kwenye quarter final vs barcelona ,kwa ajili ya kugombania top 4??


Sent using simu mbovu
 
Shaw anaweza mzidi mendy defensively,
Offensively Mendy yupo vizuri, kitu ambacho naamini in a more balanced team, Shaw nae ataimprove.

Sent using simu mbovu
 
Nimeshangaa sana jamaa anaposema Mendy hapig kross vzr,

Huyo Mendy akipiga kross unaweza kupuliza na upepo ukaingia golini,

Pamoja na majeruhi ana assist za kutosha, ni moja kati ya mafullback bora EPL,kwa mechi chache tu alizocheza

Yohana 3:16
Mendy angekuwa mzuri kiasi hicho City wasingeingia sokoni kumtaja Ben chill well na kitakacho kuniweka mendy sokoni..... Mnabwabwaja hamjui soka wala nini wakuu mnaongea kishabiki sana.... Mendy ni kati ya weakness kubwa ya city jamaa hawezi defend kwakiasi hicho na anaassist nyingi sababu ya mchezo wanaocheza city tu ila sio Kama anauwezo wa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani tungepumzisha key players kwa ajili ya kugombea top 4 kuliko kujitia tunaweza kupishana na barca yenye messi ndani,mechi ambayo hata tukishinda tumebahatisha.
Wewe shabiki wa Tanzania unasema hivi wenzio wamelipa pesa Waka one maajabu leo....football haina unafki sema hamuangaliagi soka leo ukibahatika angalia uone nini kitatokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu hata Liverpool na Uzuri wao wote nje wanafoward ya sturridge na Origi
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu man city kumtaka ben chill well haina maana mendy ni mbovu. Mendy ni injury prone akicheza mechi mfululizo ataumia tu hivyo mancity hupata pigo kubwa akiumia na kama unafatilia mpira utajua kuwa fabian delph(substitute wake sio natural left back yy n defensive middfielder anaetumia mkuu wa kushoto) sub yake nyingine ni zinchenk( huyu nae ni sio natural left back bali middfielder ambae ni left foot) sasa haiitaji degree kuelewa kwa nn mancity wanamtaka ben chill well. Mendy akiumia wanataka wawe na equal replacement nje.

Jaribu kufatilia mambo acha kukurupuka kuita watu majina ya hovyo kwa ujinga ambao unao ww kichwani mwako.

Umesema mendy kawekwa sokoni asee we jamaa ni famba kweli unaweza tuletea hapa link ya hizo habari kwamba man city wanataka kumuuza benj mendy??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mendy anapiga kross lakini vipi kuhusu umakini wa hizo krosi, ninachoongelea ni krosi za maana

Kuna mtu amekuja na hoja kuwa Mendy ametoa assist nyingi japo kacheza mechi chache, ni kweli lakini hiyo ni down to City's style of play and not Mendy's brilliance.

Kwa mfumo wa City hata Delph anaweza mzidi Shaw assists, je Delph ni mkali kuliko Shaw kule kushoto. Kwa mfumo wa United Pogba siku za nyuma alionekana si lolote, si chochote vipi kuhusu mfumo wa sasa na majukumu aliyopewa?

Kwamba akina sterling wanatupia tu magoli sababu ya Mendy!! Kati ya wapika mabao City huyo Mendy hayumo kabisa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ben chillwell anatakiwa kwa kuwa Mendy ni injury prone ,

Yohana 3:16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…