CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,675
- 1,060
Unaongelea Mancity ipi? Ile iliyompiga chelsea 6? Mlitamali sana chelsea ashinde na jezi zao mkavaa halafu mkashundwa kushangilia hata goli moja, wewe shabikia tu timu yako liverpool achana na hizi timu zilizokosa mwelekeo. Utaaibika.Ma devil kwa heshima na taadhima napita kwenye uzi wenu,siku mtakayocheza na man city nitawapa sapoti kwa % zote siku hiyo,yan nitakua radhi hata kuvaa jezi ya mashetani ili mradi tu mumfunge huyo jirani yenu man c,kila la heri mashetani,yes u can
Kwahiyo ndo wamepanga Mancity wakutane na Barcelona Fainali? Basi inawezekana Maana ndo inavyoelekeaUEFA bhana ,yaani toka wanapanga droo walishajiwekea nusu fainal ni barca na liver,
Ukiwajua UEFA wala husumbuki, hii mechi ya liver na barca wanaitaka sana kunogesha michuoano
Yohana 3:16
Mkuu naona umetia kambi mapema sanaaa ushaanza kuchimbia mahema ???
Na huo ndio ukweli.only pogba na degea ndio world class. The rest are just average.
Na kama ole atafanya clear out. Auze defence youte na forward.. anunue world class. Othewise team haitoenda mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mteremko kwa barc hamna ugumu hapoNgoma ngumu mkuu dakika 90 ndio muamzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuanzia leo nakupa heshima yako wewe ndiye shabiki pekee wa MAN U nitakae muheshimu dunia nzima umeongea ukweli sio kama hao wengine wajinga wanaoshinda kupamba mavi mauaNashangaa sana madhabiki humu wanategemea watashinda chochote na kile kikosi mfu yaani mwenzako ana salah mane robertson vvd nk wewe una lukaku rashford lingard sijui sanchez nk???
Manchester united ya sasa ni uozo mtupu na usikae ukategemea chochote kutoka mule.
Mashabiki wa man u eti tunamuona scot kama ndo midfield tunayoitegemea kweli??? Yaani hao kina fred scot ndio watupe epl au uefa kweli??
Tuache kuwapa wachezaji wetu sifa za kipuuzi ambazo hata hawadeserve shoo anayopiga mtu kama fabinho au sterling au mane angekuwa anafanya mchezaji wa man u basi tungemsifia mpaka basi. Huu ni upuuzi kuna watu humu wanasema eti martial sijui radhford sijui nini hawa madogo ni wapuuzi tu
Kuna mpuuzi mwingine ni ashley young yaan jamaa hajui kukaba hatulii na mpira anapoteza pasi hajui hata kupiga kross sasa sijui anaanzaje kwenye timu kama man u alafu kuna watu humu mnategemea miujiza kweli??
Timu haina world class players na hao waliopo hawajitumi kabisa sasa mnadhani mtachukua kombe gani lenye ushindani?? Huyu barca mwenyewe atatupiga nje na ndani ndo akili itukae sawa top four yenyewe kwa huu mpira wa kipuuzi tunaocheza hatuwezi kuingia na hapo ndipo usajili unapokuja kuwa mgumu
Mourinho hajawai kuwa mnafiki alisema tuna timu mbovu hakuna worldclass plsyers na michezaji haijitumi tukamwona ni mchawi wetu.
Kaja ole wachezaji wakakaza ili kuonesha shida ilikuwa n mourinho sasa vibe limekata maji na mafuta yamejitenga uwezo wao halisi unaonekana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyochezaSasa mkuu ukiachana na majeruhi ya mendy akiwa fit healthy unadhani huyo shaw wetu anaweza kumpiga benchi??
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mendy is too heavy for a left back, hamkuti Shaw hata kidogo kwa namna modern full backs wanavyocheza
Kuhusu majeraha, hata Shaw majeraha yamemrudisha nyuma sana
Shaw anapaswa aongeze efficiency kwenye kupiga krosi, eneo ambalo hata Mendy hayupo vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umeongea kwa hisia sanaaNashangaa sana madhabiki humu wanategemea watashinda chochote na kile kikosi mfu yaani mwenzako ana salah mane robertson vvd nk wewe una lukaku rashford lingard sijui sanchez nk???
Manchester united ya sasa ni uozo mtupu na usikae ukategemea chochote kutoka mule.
Mashabiki wa man u eti tunamuona scot kama ndo midfield tunayoitegemea kweli??? Yaani hao kina fred scot ndio watupe epl au uefa kweli??
Tuache kuwapa wachezaji wetu sifa za kipuuzi ambazo hata hawadeserve shoo anayopiga mtu kama fabinho au sterling au mane angekuwa anafanya mchezaji wa man u basi tungemsifia mpaka basi. Huu ni upuuzi kuna watu humu wanasema eti martial sijui radhford sijui nini hawa madogo ni wapuuzi tu
Kuna mpuuzi mwingine ni ashley young yaan jamaa hajui kukaba hatulii na mpira anapoteza pasi hajui hata kupiga kross sasa sijui anaanzaje kwenye timu kama man u alafu kuna watu humu mnategemea miujiza kweli??
Timu haina world class players na hao waliopo hawajitumi kabisa sasa mnadhani mtachukua kombe gani lenye ushindani?? Huyu barca mwenyewe atatupiga nje na ndani ndo akili itukae sawa top four yenyewe kwa huu mpira wa kipuuzi tunaocheza hatuwezi kuingia na hapo ndipo usajili unapokuja kuwa mgumu
Mourinho hajawai kuwa mnafiki alisema tuna timu mbovu hakuna worldclass plsyers na michezaji haijitumi tukamwona ni mchawi wetu.
Kaja ole wachezaji wakakaza ili kuonesha shida ilikuwa n mourinho sasa vibe limekata maji na mafuta yamejitenga uwezo wao halisi unaonekana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nashangaa sana madhabiki humu wanategemea watashinda chochote na kile kikosi mfu yaani mwenzako ana salah mane robertson vvd nk wewe una lukaku rashford lingard sijui sanchez nk???