Matic???!!!Kesho tunahitaji sana huduma ya Matic na Alexis Sanchez.
Post na wewe uweke caption yako MkuuIngelipendeza Zaidi Kama ungeliandika Waliosafiri Kwenda Kuangamia Spain
Kama nakuona vile unavyoombea OGS asifanikiwe kufanya anachotaka kufanyaNi kweli kila Kocha ana Ndoto hizo kwa Timu Yake lakini Je (Owner & Sporting director) Watampa Mamilioni ya £ kuwanunua hao? Au ataishia kama Mourinho kumtaka Griezman akapewa Sanchez?
Na je timu zinazowamiliki hao wachezaji zitakuwa tayari kuwauzia?
Good point.
Sometimes you don't need talent.
You need hardworking players with higher work rate.
Same as Wayne Rooney.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetu
Hatuna world class players
Hivi kweli lingard, smalling, jones, fred, sanchez, matic etc wanaweza kutupa epl kweli???
Achen kukuza sana wachezaji wetu ni wa kawaida mno huyo rashford media ya england imemkuza mpaka anajiona cr7 wakati hakuna kitu he is just another average english player huyo martial ndo mpuuzi wa kutupwa hajutumi hakabi anapiteza mipira anakaa tu sehemu yake anakosa magoli ya wazi etc lakin kuna wapumbavu huku wanaweza sema martial ni level za kina hazard, mane, sterling nk lukaku nae hana ata first touch nzuri hajui kucontrol mpira hajui kujiposition hajui kupiga pasi nk yaani kidogo ata yy anapambana kidogo anaonekana etcetc
KWA SASA NI POGBA TU NA DEGEA NDIO WACHEZAJI WETU WANAOWEZA KUINGIA KWENYE KIKOSI CHA MANCITY , BARCA , LIVERPOOL ETC SASA HII SI AIBU YAANI UNATAKA KUBEBA EPL AU UEFA HUKU UNAWACHEZAJI WAWILI TU BORA WENGINE WOTE TISA NI UCHAFU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Martial akiuzwa sitashtuka.Mkuu Rooney was talented like hell...he was a complete monster sema tu alijitolea kuwanchini ya Ronaldo maana alitengene, a goals nyingi za Ronaldo......huyu martial mvivu kuna sku nilisema bora tuweke accademy players watu wakaniona punguani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetu
Hatuna world class players
Hivi kweli lingard, smalling, jones, fred, sanchez, matic etc wanaweza kutupa epl kweli???
Achen kukuza sana wachezaji wetu ni wa kawaida mno huyo rashford media ya england imemkuza mpaka anajiona cr7 wakati hakuna kitu he is just another average english player huyo martial ndo mpuuzi wa kutupwa hajutumi hakabi anapiteza mipira anakaa tu sehemu yake anakosa magoli ya wazi etc lakin kuna wapumbavu huku wanaweza sema martial ni level za kina hazard, mane, sterling nk lukaku nae hana ata first touch nzuri hajui kucontrol mpira hajui kujiposition hajui kupiga pasi nk yaani kidogo ata yy anapambana kidogo anaonekana etcetc
KWA SASA NI POGBA TU NA DEGEA NDIO WACHEZAJI WETU WANAOWEZA KUINGIA KWENYE KIKOSI CHA MANCITY, BARCA , LIVERPOOL ETC SASA HII SI AIBU YAANI UNATAKA KUBEBA EPL AU UEFA HUKU UNAWACHEZAJI WAWILI TU BORA WENGINE WOTE TISA NI UCHAFU
Sent from my iPhone using JamiiForums
Nakubaliana na wewe mkuu mc gregor ila ranieri na leicester yake haikuwa na world class hata mmoja kipindi wananyanyua kwapa zao
Martial mvivu. Ana talent ndio ila lazy. Mwanzon alivyokuja man u alikuwa lethal sana. Vyenga vya hapa na pale. Halaf macho ya kuona goli.Martial akiuzwa sitashtuka.
Haitumii talent yake kuinufaisha timu
Labda Pep au Klopp anaweza kumuamsha toka usingizini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huo ndio ukweli.only pogba na degea ndio world class. The rest are just average.Mashabiki wenzangu wa united tuache kujipa sifa za kipuuzi kikosi chetu