capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Chukua decoder km tiger extra au tiger mega utakula beinsport zote ww na bundle tuNAOMBA LIVE STREAMING LINK AMBAYO NAWEZA CHECK LEAGUE ZOTE ZA SOCCER
Ole Gunnar Solskjaer is one defeat away from Manchester United's worst run in 27 years.
A loss against West Ham will mean five defeats in six - Something they haven't done since 1992 under Sir Alex Ferguson. https://t.co/DcZD1GF6Ak
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umepata mnunuzi wa sanda?
Kwa aina ya wachezaji hata hii timu ifundishwe na malaika , bado ni upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi sijakuelewa mantiki yake kabisa. Alafu anabaki Martial, LingardHuyu kocha si bure itakuwa Kuna nut,zimelegea kwenye central nervous system.. Anamtoa LUKAKU????
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe usilinganishe utd na simbaTumeshinda ila timu hatuna mazeee kipigo cha simba kitatukuta hiyo j4 kwa barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi angepewa Klopp?Mimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS
OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.
Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mgululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.
Baada ya visasi vyao kuisha na ari ya kumprove wrong Mourinho kuisha hatimae wamerudi palepale alipowaacha Mourinho.
Argument yako ni dhaifu.Mimi ni Mmoja Katika Wanaoamini Kuwa Man United Wamekosea Kumpa Mkataba OGS
OGS alishafeli tokea alipokuwa akiifundisha Cardiff City.
Nilichogundua Mimi ni kuwa Baada ya Kutimuliwa Mourinho Man United ilishinda mgululizo si kwasababu OGS alikuwa kocha Mzuri! Bali walishinda kwa wachezaji kukazania Kumprove Wrong Mourinho tu.
Baada ya visasi vyao kuisha na ari ya kumprove wrong Mourinho kuisha hatimae wamerudi palepale alipowaacha Mourinho.
Hili pia nalo lilikua ni ajabu jingine la game. Sikumuelewa kwa kweli.Makocha sometime nao huwa wanajichanganya
Yani unamwacha Lingard na Martial, halafu unamtoa Lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh mkuu ntajiuzia mwenyewe aiseItunze mkuu,utaitumia kesho maana Hazard anatumbukiza goli mbili nzuri tu.