Brendan Rodgers aliwahi kusajili wachezaji 9 akiwa Liverpool
Lazar MarkovicBrendan Rodgers aliwahi kusajili wachezaji 9 akiwa Liverpool
1 lalana
2 Lambert
3 Nathan clyne
4 Divok origi
5 dejan Lovren
6 james Milner
7Alberto Moreno
8 Philip Coutinho
9, Sakho
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tunaweza kabisa kununua wachezaji sita au watano this season bila shidaLazar Markovic
Dirisha kubwa tunanunuaLazar Markovic
hata ishirini inategemea na bajeti yako tuKwahiyo tunaweza kabisa kununua wachezaji sita au watano this season bila shida
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nnavyomuhisi huyu bwana ED anaweza akaleta RB halafu CB akafanya kama haoni kama kuna tatizo au akafanya vice versa.Dirisha kubwa tunanunua
Right back
Right wing
Replacement ya Mata
Replacement ya Hererra
Replacement ya Bailly
Tunawapandisha vijana watatu.
Dirisha Dogo tunaongeza
Left wing
Central defender
Plus striker
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nnavyomuhisi huyu bwana ED anaweza akaleta RB halafu CB akafanya kama haoni kama kuna tatizo au akafanya vice versa.
kuhusu Bailly, ana asilimia chache sana za kuondoka ukiangialia Darmian, Rojo na Valencia wana possibility kubwa ya kuondoka mwishoni mwa msimu sitarajii kuiona United ikinunua defenders zaidi ya wawili.
bajeti ya msimu ujao inavyosemeka ni paundi 200 milioni Darmian na Rojo wataenda kwa pesa kiduchu sana Mata, Herrera na Valencia wataenda bureee so sioni hilo kwa Bailly.
shida ni CB, RB, CM/DM na RW (bora tukose wote lakini tupate RW) so kwa hiyo bajeti tunaweza tukapata mahitaji yetu yote kikamilifu.
Matic ana miaka 30+ na Herrera anaondokaKwenye midfield kuna
Fred
Mic Tominay
Pogba
Matic
Lingard
Sidhani kama Ole atanunua midfielder labda Pogba aondoke
Lakini pia ununuzi wa wachezaji itategemea Ole anataka kustrengthen upande gani
Ila RW lazima ipewe priority kubwa hata replacement ya Mata ni muhimu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Matic ana miaka 30+ na Herrera anaondoka
mimi nnavyomuhisi huyu bwana ED anaweza akaleta RB halafu CB akafanya kama haoni kama kuna tatizo au akafanya vice versa.
kuhusu Bailly, ana asilimia chache sana za kuondoka ukiangialia Darmian, Rojo na Valencia wana possibility kubwa ya kuondoka mwishoni mwa msimu sitarajii kuiona United ikinunua defenders zaidi ya wawili.
bajeti ya msimu ujao inavyosemeka ni paundi 200 milioni Darmian na Rojo wataenda kwa pesa kiduchu sana Mata, Herrera na Valencia wataenda bureee so sioni hilo kwa Bailly.
shida ni CB, RB, CM/DM na RW (bora tukose wote lakini tupate RW) so kwa hiyo bajeti tunaweza tukapata mahitaji yetu yote kikamilifu.
Anaweza kuwa sahihi kutokana na timu kutokuwa vizuri kwenye kutengeneza nafasi za magoli na kuzitumia.Inaonekana OGS bado anaimani na wachezaji waliopo nyuma katikati lakini hiyo inachagizwa na bajeti aliyonayo na vipaumbele vyake
Kuna source kama mbili nilisoma inaonesha OGS ana mpango wa ku spend kidogo pale nyuma, na Toby wa Spurs mwenye miaka 30 (mwezi wa saba anakuwa na release clause ya £25 million) na Manolas wa Roma mwenye miaka 27 ambaye Julai anakuwa na release clause £ 33 million)
Inaonekana OGS anaona kuna umuhimu wa kuongeza wachezaji wapya offensively kuliko kwenye ulinzi hususani mabeki wa katikati
Sent using Jamii Forums mobile app
kama atafanya hivyo kweli basi awe na forward line ambayo inauwezo wa kufunga goli 3 per gameInaonekana OGS bado anaimani na wachezaji waliopo nyuma katikati lakini hiyo inachagizwa na bajeti aliyonayo na vipaumbele vyake
Kuna source kama mbili nilisoma inaonesha OGS ana mpango wa ku spend kidogo pale nyuma, na Toby wa Spurs mwenye miaka 30 (mwezi wa saba anakuwa na release clause ya £25 million) na Manolas wa Roma mwenye miaka 27 ambaye Julai anakuwa na release clause £ 33 million)
Inaonekana OGS anaona kuna umuhimu wa kuongeza wachezaji wapya offensively kuliko kwenye ulinzi hususani mabeki wa katikati
Sent using Jamii Forums mobile app
kama atafanya hivyo kweli basi awe na forward line ambayo inauwezo wa kufunga goli 3 per game