Sipendi kusikia hata hilo jinaKuna mtu anamuelewa huyu Ashley Young?
Jamaa sijawahi kumpenda ila ana bahati sana na mkataba kapewa na captain ndo yeyeSipendi kusikia hata hilo jina
Sent using simu mbovu
upo sahihi brother tupo ovyo sana eneo la mbele kuliko timu kubwa yeyote, mpaka inafika nyakati natamani liverpool watuazime sadio mane, spurs watuazime son pamoja na man city watuazime japo bernardo silva.Sehemu inayotuangusha sana ni mbele kule hakuna Quality inayohitajika..
Huyu kijana leo kanifanya nimepata furaha ingawa nimefungwa, ametulia sana.atakapoondoka marcos rojo hii namba 16 ni bora apewe scott mctominay, sielewi kwa nini tunataka kuingia kwenye mtego wa media za kiingereza za kutaka kumsajili declan rice.
hivi rakitic pamoja na arthur melo walikuwepo uwanjani?kama yupo mdau anayeamini siku moja rashford atakuwa mchezaji bora basi aendelee kuwa na imani hiyo mpaka kufa kwake.
man utd 0 barcelona 1
View attachment 1068168
swadakta utafikiri amezaliwa maeneo ya catalunya kumbe ni muingereza kama alivyo henderson na darren fletcherHuyu kijana leo kanifanya nimepata furaha ingawa nimefungwa, ametulia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma barua ya maombi ya kazi. Mechi ya marudiano mfanye comeback.Kocha sub zake za hovyo ilibidi rashford ndo aingie martial acheze kushoto na dalot arudi kulia ila badala yake kamtoa
Sent from my SM-G928C using Tapatalk
Quality itatoka wapi wakat kocha ako anaona rashford anauwezo wakufunga kuliko lukaku ! Mpira anajua ila akili yake mbovu afadhali hata ya lingard !upo sahihi brother tupo ovyo sana eneo la mbele kuliko timu kubwa yeyote, mpaka inafika nyakati natamani liverpool watuazime sadio mane, spurs watuazime son pamoja na man city watuazime japo bernardo silva.
yule kocha wa barcelona ni muoga sana anapokuwa ugenini lakini ndio hivyo amekutana na timu inayotabirika eneo la ushambuliaji kabla ya mechi.
Ukiona hivyo ndio ujue jinsi gani tuko nyuma.Jamaa sijawahi kumpenda ila ana bahati sana na mkataba kapewa na captain ndo yeye
Sent from my SM-G928C using Tapatalk
We unakazi ?Tuma barua ya maombi ya kazi. Mechi ya marudiano mfanye comeback.
Au ndo carrymastory ?Tuma barua ya maombi ya kazi. Mechi ya marudiano mfanye comeback.
Duniani kama kuna watu wapumbavu ni Mashabiki wa Man U.. ni upumbavu kujiamini na kudhani kwamba Man U.. ingeifunga Barca.. Jiandaeni Kucheza Europa Mwakani.. MotherF*ck..!
Ni wapubavu.. nimeona jamaa wanakasiriks hadi wanashikana mashati kwenye vibanda vya kucheki Mpira..Sasa mkuu hasira zote hizi za nini? Mbona umekasirika kuliko hata shabiki wa MUFC?
Ushabiki wa mpira ni mzuri sana,tatizo ni pale mtu anapotaka kuutumia kutibia mkazo wake.
😂😂😂
Huyu kijana leo kanifanya nimepata furaha ingawa nimefungwa, ametulia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama tulistahili kupigwa saba na badala yake tukafungwa moja unaanza kucritisice sasa huoni kama timu ndo ilifanya vizuri??Leo kuanzia kocha mpaka wachezaji walipanic.
Kocha alishindwa kupanga kikosi cha kazi na bado ankfanya sub za hovyo.
Wachezaji ndio ilikuwa full kupoteana pale kati, yani hawaonani, pasi hazifiki.
Kufupi tulistahili kupigwa hata saba.
Kocha sub zake za hovyo ilibidi rashford ndo aingie martial acheze kushoto na dalot arudi kulia ila badala yake kamtoa
Sent from my SM-G928C using Tapatalk
We unakazi ?
Sent from my SM-G928C using Tapatalk