SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Hahahahahahahahah
*uckThis is like watching a Champions League team against a Championship team at the moment.
Mkuu ungelea mpira...elezea na ball possession ma attack nyingi ziko wapi...nadhani huamini kinachotokea.Et Leo var inaonekana takataka
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Hahahaha mzee baba leo msituangushe bana .mimi na fans wote wa Chelsea tunataka leo manure ashinde..Wakati United anakutana na hio miamba usiku wa UCL wa Jumatano,
Chelsea siku ya futuhi, Alhamisi atakutana na sijui Ngadeo - Ngadjui, Kudela, Boril
Funy, but not funy
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa ubao unasoma umegongwaMkuu ungelea mpira...elezea na ball possession ma attack nyingi ziko wapi...nadhani huamini kinachotokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
United wanaegemea counter attack sana na ndy wakat ambao wachezaji wa barca wamesogea mbele sana kwaajil ya pressing bahat mbaya hazizai
Man U siyo timu ndogo wewe!! Ni transition tuu hiiIla msiwadharau sana nyumbu wanaweza pata matokeo hata spain timu ndogo zina wadindia barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mnadundwa
Hahahaha sawa mzee baba ..sisi manure tuko pamoja kuhakikisha Ole anashinda.Hahahahahaha, mkuu mimi humu nyumbani, kule huwa Nam troll malafyale na mwenzake King Ngwaba
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
Hahaaaaa
Bora tukambadilishe kwa matenga ya nyanya
Mkuu tupunguzie kidogo fanya hata tatu mkuu.Manyumbu 0 barca 5
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Labda mess wa azam, yule aliyetoka simbaFred anafanya kazi nzuri kwa kweli, naona kamficha Messi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums