Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yote hii sisi fans wa Manure atuoni kama ina umuhimu kwa sasa. Hii Man u ya akina Rashford, Lukaku, Philip Jones sioni kama itafua dafu apo jumatano.

Tuombe tufungwe at least goli tatu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwa nyumbu toka lin

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Umekuwa nyumbu toka lin

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Najaribu kuwaunga ili kuwatia moyo kwa sababu stats hazisaidii chochote ..kwa sasa Messi hazuiliki ..hivyo najaribu Kuwa nao Karib ili kuwapa faraja kwenye hichi kipind kigumu wanachoenda kupitia hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaunga ili kuwatia moyo kwa sababu stats hazisaidii chochote ..kwa sasa Messi hazuiliki ..hivyo najaribu Kuwa nao Karib ili kuwapa faraja kwenye hichi kipind kigumu wanachoenda kupitia hahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaaaa ,napumzika kidogo, navuta pumzi maana jumatano nakuja kuweka kambi hapa hadi asubuhi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Ed Woodward amemuhakikishia Ole Gunnar Solskjaer kuwa atampatia kiasi cha pauni milioni 200 kwa ajili ya kuimarisha ama ksuka kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao na atajua mwenyewe jinsi gani ya kuzitumia hizo pesa..
Lakini kama mimi ningekuwa Ole ama ningepewa nafasi ya kumshauri asukeje kikosi chake basi ningeanza hivi
#Kupunguza wachezaji pale OT.
Achilia mbali Ander Herrera na David De Gea ambao hao wote inasemekana huenda wakahamia Psg msimu ujao pamoja na Paul Pogba ambaye anahusishwa sana na kutua Real Madrid msimu ujao hivyo sitowaweka kwenye mipango yangu kwa asilimia 100 na kama nitaamua kumuuza Pogba basi offload yangu itakuwa hivi
1.Paul Pogba-pauni mil 150
2.Eric Bailly-pauni mil 45
3.Chris Smalling-pauni mil 40
4.Alexis Sanchez-pauni nil 45
5.Marcos Rojo-pauni mil 30
6.Phil Jones-pauni mil 40
7.Ashley Young-pauni mil 20
Hapo kwa hiyo offload nitakuwa nimeingiza kiasi cha pauni mil 370 ukijumlisha na ile 200 ya Ed nakuwa na jumla ya pauni mil 570..ambayo nitaitumia yote kwa manunuzi haya
1.Jordan Pickford(26yrs GK)-pauni mil 40 from Everton.
2.Kalidou Koulbally(27yrs CB)-pauni mil 70 from Napoli.
3.Kostas Manolas(27yrs CB)pauni mil 40 from Roma.
4.Joao Cancelo(24yrs RB)pauni mil 55 from Juventus.
5.Matthijs De Ligt(19yrs CB) pauni mil 60 from Ajax.
6.Alex Grimaldo(23yrs LB) pauni mil 30 from Benfica.
7.Ruben Neves(22yrs DM) pauni mil 40 from Wolves
8.Bruno Fernandes(24yrs AM) pauni mil 55 from Sporting.
9.Hirving Lozano(23yrs RW) pauni mil 40 from Psv
10.Ousmane Dembele (21yrs LW) pauni mil 80 from Barca.
11.Luka Jovic(21yrs ST) pauni mil 60 from E.Frankfurt.

Note ; Usajili huo wote sio kwamba ni wakukurupuka ila nakuwa na backup ya wachezaji ambao hata akiumia mmoja unakuwa na backup ya uhakika mfano kwa kikosi kilichopo pale nikichanganya na hawa
GK-Romero/Pickford.
RB-Dalot/Cancelo
LB_Shaw/Grimaldo
CB-Lindelof na Koulbally/ De Ligt na Manolas.
CDM-Matic/Mctominay/Neves.
CAM-Perreira/Fred/Fernandes.
CF-Lukaku/Martial/Jovic/Rashford
RW-Rashford/Lingard/Dembele..
LW-Martial/Rashford/Lozano.
Hapo nitafanya rotation nzuri tu kwa kuwa michuano ni mingi sana(Premier League,Efl,Fa,Champions League/Europa) na sitokuwa na wasiwasi na yoyote atakayeanza wala atakayeumia..pia kikosi changu hicho kitakuwa ni cha mipango ya muda mrefu kutokana na asilimia 98 ya kikosi hicho ni vijana wadogo.
Bila kusahau kuwatafutia game time ya kutosha vijana kama Angel Gomes, Mason Greenwood,Tahith Chong, James Garner pamoja na vijana wengine watakaopandishwa msimu huo..
NI MTAZAMO WANGU TU.
 
ila we jamaa umewananga hawa manyua.. Unajisahaulisha kwamba una mbwa mwitu fulani wakali sana wanakujia..
Hahaaaaaaa ,napumzika kidogo, navuta pumzi maana jumatano nakuja kuweka kambi hapa hadi asubuhi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Yaani Jones umuuze £40m??!!
 
COMMENT YA MSIMU
 
Dembele??, kwa nini barca wamuuze?

We jamaa utakuwa negotiator mzuri sana ,umuuze smalling kwa 40ml.??
Then umununue Neves kwa 40ml.??

Sent using simu mbovu
 
Daaaaaaah we jamaa Man u ya 2008/ 2009 ilikua bora kuliko Barca kivip kwa mfano. Au umeandka kujitia Moyo.
Labda ka ungeniambia mpira lolote linaweza kujitokeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…