Manchester United (Red Devils) | Special Thread

poleni sana majirani maana ilikuwa ni visago ila cha kwenu ni balaa tupu poleni aisee...
 
Kajitahidi leo tungepigwa nyingi..Hii backline yetu haujatulia.Asante mkuu ngoja nilale kabla sijaenda jukwaa lingine nikapigwa ban na hili balaa.
Do not worry GUY, you will not meet such tough opponents in future.TEH TEH
 
Mwaka wa tabu.nionavyo mimi timu zote za epl zimeshuka sana kiwango kwa sababu ya kubebwa na waamuzi wao.
 
hiyo ndio Europa..
Man utd full mziki tena OT but wamechezea kichapo timu iliyotoka kupata kipigo cha bao 5 juz tu na Barca!
 
Kwani kuna mtu hakutazama game? Here I you go...
 
Last edited by a moderator:
Naona wanga wengi sana hata ndugu yangu Ndetichia uko upande wa lifetime losers...Haya bwana.
 
shetan wekundu,walikutana na makaika wa kijan,wakatolewa nduki;tena kwaooooooooooooooooooooooooo.
 
nimecheck highlights mabao waliyofungwa Manure ya kizembe sana... !
 
Sijui niwaombee njaa au Vp!! Ila kwa jinsi ninanyoichukia Man City I wish u guys mnyanyue Kwapa.... I wish u all the best in 2day's game......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…