Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Subir mmalize nafas ya 6 ,ndio mtajadili vzrMnatujazia uzi wetu na vitu vya kipuuzi..
Tuacheni tujadili mambo yetu ya msingi..
Watu jana mmefungwa na Everton na hamna hata away cleansheat hata moja mnazidiwa hadi na Huddersfield iliyoshuka daraja,,mnapata wapi nguvu ya kutusumbua kwenye uzi wetu??
Wewe hizo cleansheet za away zimekusaidia nn ,mbona umeganda namba 6Mnatujazia uzi wetu na vitu vya kipuuzi..
Tuacheni tujadili mambo yetu ya msingi..
Watu jana mmefungwa na Everton na hamna hata away cleansheat hata moja mnazidiwa hadi na Huddersfield iliyoshuka daraja,,mnapata wapi nguvu ya kutusumbua kwenye uzi wetu??
Nyie wenye cleansheat nyingi kuzidi wao zimewasaidia nini au mmewashinda nini na hizo cleansheat za awayMnatujazia uzi wetu na vitu vya kipuuzi..
Tuacheni tujadili mambo yetu ya msingi..
Watu jana mmefungwa na Everton na hamna hata away cleansheat hata moja mnazidiwa hadi na Huddersfield iliyoshuka daraja,,mnapata wapi nguvu ya kutusumbua kwenye uzi wetu??
Jamaa anajaribu kutupaka mafuta kwa............Barca's coach on United threat View attachment 1065749View attachment 1065750
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anajaribu kutupaka mafuta kwa............
Ila revenge ya zile fainali mbili(2009,2011)
Nitaisubiri hata miaka zaidi ya 50. Niliumia sana.
Sent using simu mbovu
Amesema ukweli
Barcelona ni wanyonge kwenye counter attack
Pia wana weekness kwenye physical game
Kwangu bado ninaamini PSG ya mwaka huu ni nzuri kuliko Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anajaribu kutupaka mafuta kwa............
Ila revenge ya zile fainali mbili(2009,2011)
Nitaisubiri hata miaka zaidi ya 50. Niliumia sana.
Sent using simu mbovu
Club yenu haina DM potential for long time na wakati huo huo Matic mwenyewe sio World Class DM
Mchukueni huyu dogo wa kibrazil si mnajua mpira ulivumbuliwa China wakajua kucheza Wabrazili
Anaitwa Bruno Guimares , yaani dogo wa mwaka 1997 tu huyo
Jamaa vipi Coutinho? Firmino? Fernandinho? Diego Costa?
Jamaa vipi Coutinho? Firmino? Fernandinho? Diego Costa?
Unaongeaga pumba ,ngoja tuone jumatano , kama hamjakarangwa za kutosha,Amesema ukweli
Barcelona ni wanyonge kwenye counter attack
Pia wana weekness kwenye physical game
Kwangu bado ninaamini PSG ya mwaka huu ni nzuri kuliko Barca
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mwenye team yake, ni haki na wajibu kutajwa yeyeNingekuwa shabiki wa Barcelona ningekuwa disappointed sana
Naona anatajwa Messi zaidi kuliko inavyotajwa Barcelona
Tuiite basi Messi Fc, na sio Barcelona Fc
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatia huruma, unavyozurura kwenye uzi wa watu wengineUnaongeaga pumba ,ngoja tuone jumatano , kama hamjakarangwa za kutosha,
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kumbe ile ni timu ya MessiNdio mwenye team yake, ni haki na wajibu kutajwa yeye
najivunia yeye kutajwa zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatia huruma, unavyozurura kwenye uzi wa watu wengine
Ndio maana sishangai wanavyokuita domokaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuongea pumba na uchambuz uchwara, unakumbuka uliletaga uchambuz uchwara tukakubamiza 2-0Unatia huruma, unavyozurura kwenye uzi wa watu wengine
Ndio maana sishangai wanavyokuita domokaya
Sent using Jamii Forums mobile app