The main problem is United perfomance at the moment
ila waongeaje wengine ni sisi pamoja na 14 ya kutobeba Kombe lakini bado kisebu sebu tunachoHivi sisi tunabwatuka??
Huwajui liver wewe
Mungu hakupi vyote bora Wolves wangetuachia yu siku ile tuwafunge
Vishamba sana hivi vijamaa..nilitegemea wataenda fainali
Dah asee wewe bwana. Angalia wanaovamiaga nyuzi za wenzao ni nani? Kama sio Man U na ArsenalHakunaga kama liver katika issues za kutamba...halafu sijui inakuaje,wote naowafahamu wako hivyo
Vishamba sana hivi vijamaa..nilitegemea wataenda fainali
Shetwan shoga atafanywa kitu mbaya hatosahau kbisaMashetani watatolewa ushetan wao
Unachekesha Sana wachezaji wa kiungo wote wa Manchester United hadi wa academy hawafiki hata robo ya uwezo wa Sergio busquetsNimeanza kufuatilia mpira zaidi ya miaka 20 ss... UEFA sio La liga wala EPL... Always timu ambazo haziko vizuri saana ndio hupata matokeo..
KUMBUKA MAN U YA 2008/09 ILIKUWA BORA MBELE YA BARCA LAKINI ILIFUNGWA KWENYE FAINALI..
GAME HII NAONA WAZI BARCA AKIPOTEZA KWA GOLI 2-0
Kwann nasema hivyo.. Uchezaji wa Barca ni rahisi kudhibitika hasa na Man u ukizingatia aina ya viungo wa Utd...
Ebu fikiria man U wakianza na HERERA, POGBA NA MATA... RASHFORD NA MARTIAL KULE MBELE.. unaona jinsi gani barca watalazimishwa kushuka na kutotembea kasi mbele.. hii itawafanya wafungwe..
KWANGU MM BARCA SAFARI YAKE IMEISHIA HAPO..
Mnatujazia uzi wetu na vitu vya kipuuzi..Jumatano usiku loading.....View attachment 1065446
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Dah asee wewe bwana. Angalia wanaovamiaga nyuzi za wenzao ni nani? Kama sio Man U na Arsenal
Hao wote uliowataja watalazimika kuwa beki maana safu ya ushambuliaji ya Barca ni hatari fireNimeanza kufuatilia mpira zaidi ya miaka 20 ss... UEFA sio La liga wala EPL... Always timu ambazo haziko vizuri saana ndio hupata matokeo..