Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Ni sawa na wale wanao ombea wachezaji wa timu pinzani wapate majeruhi.Hakuna kitu nisichounga Mkono kwenye soka kama kuombea timu nyingine zifanye vibaya hili nafasi yako iwe vizuri, nakumbuka tulijadili baada ya kupangwa mechi za robo Final ya UEFA kwamba ni bora tujikite kugombea nafasi ya nne na si UEFA
Tuombe bahati iwe kwa timu ifanikiwe kumaliza nne bora
Mkuu kuna mambo upo sawa na mengine unachemkaMay be my memory is down, nani anakumbuka the time your favorite coach anachukua timu tulikua nafasi ya ngapi? And what an improvement he has made so far?
View attachment 1062242
Sent using Jamii Forums mobile app
You are a real fan of football..!Yawezekana Man u inawachezaji wenye viwango vizuri tu ila hawako organized as a team na huenda ikahitaji squad overhaul kutengeneza timu nzuri tofauti na hapo tutaendelea kupotea kadri siku zinavyokwenda.
Lakini tutambue pia EPL inaendelea kuwa ligi ngumu sana kadri siku zinavyokwenda timu zimewekeza nyingi kiasi cha kubadili kabisa atmosphere ya ligi.
Hebu tuangalie the Ferguson Era kulikuwa na top four contenders wanne tu Liverpool, Man u Arsenal na Chelsea Leo hii kuna contenders sita kwa hali ya kawaida lazima kuwe na mtifuano mkubwa.
By the way msimu huu tuliupoteza from the beginning tukubali kuretreat na kwenda kujipanga upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini mashabiki wa man hamusomi nyakati mu sawa na CCM Tanzania.Mkuu kuna vitu united na board kwa ujumla wanatakiwa kukubali kuirejesha united ile ni swala ambalo haliwez kutokea kwa kubahatisha kwa kuendelea kuwaongezea contracts wachezaji kam Phil jones,Ashley young,Chris smalling..Team ina mapunguf makubwa sana ambayo yamesababishwa na kukosekana kwa right players watakao dumu katika falsafa ya united izo team ulizotaja investment yao ilifanywa na watu wa mpira ndio maana wameweza kuwa threat kwan Liverpool 4 years back walikuwaje? Wamefanya right decisions kwenye kurejesha ushindan wao kweny PL ata Liverpool wakikosa ubingwa msimu naiona itakuw vizur kmchallenge city
Sent using Jamii Forums mobile app
Waingereza wasitufanye sisi ni wazembe na matahira wa kutupwa, hiyo list haiwezi kuwa sahihi bila ya uwepo wa phil jones, jesse lingard, ashley young.Kumekucha, naona leo BBC na Sky na magazeti mengine wanaripoti kwamba kuna uwezekano wa Man United akaachana na wachezaji 6 au zaidi katika dirisha la usajili lililo mbele yetu
1. Juan Mata (Barcelona bure)
2. Ander Herrera (PSG bure)
3. Antonio Valencia (Anaondoka Bure)
4. Mateo Darmian ((Hayupo kwenye mipango ya kocha)
5. Rojo (Yupo sokoni)
6. Bailly (Hajamshawishi kocha)
Wengine lakini kuna vikwazo
7. Degea (Makubaliano ya mkataba ndio kikwazo)
8. Alexis (Hauziki sababu ya mshahara mkubwa anaolipwa)
Je hii ndio overhaul tunayoitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waingereza wasitufanye sisi ni wazembe na matahira wa kutupwa, hiyo list haiwezi kuwa sahihi bila ya uwepo wa phil jones, jesse lingard, ashley young.
HahahahahaWaingereza wasitufanye sisi ni wazembe na matahira wa kutupwa, hiyo list haiwezi kuwa sahihi bila ya uwepo wa phil jones, jesse lingard, ashley young.
Kumekucha, naona leo BBC na Sky na magazeti mengine wanaripoti kwamba kuna uwezekano wa Man United akaachana na wachezaji 6 au zaidi katika dirisha la usajili lililo mbele yetu
1. Juan Mata (Barcelona bure)
2. Ander Herrera (PSG bure)
3. Antonio Valencia (Anaondoka Bure)
4. Mateo Darmian ((Hayupo kwenye mipango ya kocha)
5. Rojo (Yupo sokoni)
6. Bailly (Hajamshawishi kocha)
Wengine lakini kuna vikwazo
7. Degea (Makubaliano ya mkataba ndio kikwazo)
8. Alexis (Hauziki sababu ya mshahara mkubwa anaolipwa)
Je hii ndio overhaul tunayoitaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi nzuri ??Mkuu kuna mambo upo sawa na mengine unachemka
Ukiangalia League Table kwa kigezo cha position (namba 6) utaona hamna tofauti katika kipindi cha Jose na sasa
Lakini ukiangalia points difference kati ya United na top 4/3 utagundua kuwa kumekuwa na massive improvement
Kama alivyosema Mkuu Damushin, Jose alipoteza pambano. Lakini kwa mtazamo wangu hakupoteza pambano sababu ya yeye si kocha mzuri, bali kwa sababu nyingine ikiwemo kushindwa kudhibiti hali ya hewa iliyochafuka pale United
By the way bado United ana nafasi nzuri tu ya kuingia top 3/4, japo ni ukweli usiopingika kuwa matokeo ya mechi ya Wolves yametuweka pagumu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafasi nzuri ??
1.Umeangalia fixtures ya timu zinazogombania hizo nafasi ?
2.Umeangalia viwango vinavyoonyeshwa na hizo team kwa sasa ukilinganisha na United?
3.United inaweza kushinda mechi zote 6 zilizobakia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu inayofanya United awe na nafasi nzuri kumaliza top 4 kimahesabu uko Sawa but Arsenal akishinda kiporo chake anatuacha point 5 .Spurs & Arsenal wana goal difference 26 while United ana 18Arsenal ana fixtures za Toffees, Watford, Wolves na Burnley ugenini
Arsenal ana fomu nzuri sana nyumbani, lakini ugeni amekuwa tia maji tia maji especially kwa hizo timu nilizozitaja akiwa ugenini atapata tabu sana. Lakini kiujumla timu ya Arsenal haijawahi kuaminika.
Chelsea ana fixtures za Man na Liverpool away, hapo sijataja mechi zake dhidi ya mid "tablers" ambapo juzi tu dhidi ya mshuka daraja Cardiff umeona alivyomhenyesha
Spurs amebaki na Man City, lakini mechi nyingine alizobaki nazo sio ngumu sana. Lakini kumbuka huwa anafungika na timu ndogo pia, angalau Spurs ndio yupo pazuri
Kwahiyo top 3 race bado ipo open Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu inayofanya United awe na nafasi nzuri kumaliza top 4 kimahesabu uko Sawa but Arsenal akishinda kiporo chake anatuacha point 5 .Spurs & Arsenal wana goal difference 26 while United ana 18
Arsenal anaweza akafungwa hata mechi 2 na tusimfikie,Kinachosikitisha ni kiwango cha United kwa sasa ukweli ni kwamba hatuwezi kushinda mechi zote 6 zilizobakia
Sent using Jamii Forums mobile app
After 3 weeks we will discuss this againKwa Mtazamo wangu, Nafasi ya Kuingia Top 4
Arsenal 30%
United 30%
Spurs 25%
Chelsea 15%
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Mtazamo wangu, Nafasi ya Kuingia Top 4
Arsenal 30%
United 30%
Spurs 25%
Chelsea 15%
Sent using Jamii Forums mobile app
West Ham (H)
Everton (A)
Man City (H)
Chelsea (H)
Huddersfield ( A)
Cardiff (H)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahafedha ya kufanya matumizi ya wachezaji kuanzia 6 hadi 8 sidhani kama ipo kwa msimu mmoja kama tutaamua kutafuta wachezaji wa bei ghali, na kama haipo hata msimu ujao mwendo utaendelea kuwa ni huu wa kucheza vizuri mechi tano then tunacheza ovyo mechi 5 (inconsistent).
kama target zetu ni wachezaji wanne ina maana antony martial, jesse lingard, nemanja matic, smalling, ashley young, rashford, shaw wataendelea kuwa wachezaji wetu wa kikosi cha kwanza msimu ujao.
mwanzoni ilikuwa ni man city peke yake lakini kwa sasa liverpool nao pia wanatuzidi kiubora kama utawalinganisha mchezaji mmoja mmoja. ukimuondoa lindeloff na paul pogba ambaye nayeye kiwango chake hakina tofauti na majira ya msichana (menstrual) sidhani kama tuna mchezaji mwengine mwenye uwezo wa kucheza kikosi cha kwanza pale liverpool.
allison vs degea ( kwa sasa namchagua allison)
arnold vs young ( hata mwendawazimu atamchagua arnold)
robertson vs shaw ( takwimu zinambeba robertson)
virgil vs smalling (virgil mchezaji bora wa mwaka)
matip vs lindeloff (victor yupo vizuri)
gini vs matic (gini yupo vizuri)
fabinho vs herrera ( kwa sasa fabinho)
lallana vs pogba (pogba)
salah vs rashford ( salah ameshuka kiwango lakini bado ni bora)
firmino vs lingard ( hata malaika watamchagua firmino)
mane vs martial ( mhhhhhhhh mane is the best baada ya aguero kwa msimu huu)