Yawezekana Man u inawachezaji wenye viwango vizuri tu ila hawako organized as a team na huenda ikahitaji squad overhaul kutengeneza timu nzuri tofauti na hapo tutaendelea kupotea kadri siku zinavyokwenda.Hofu yangu ilikua ni united ile tunayoijua, ikatufanya tutambe, tushinde mataji ya ligi consecutively, mfululizo, ile united yenye timu ya kuaminika, haitakuja kurudi kamwe!! Na kama ikirudi basi itakuwa baada ya miaka ambayo tutakuwa wazeee kabisa, wasiwasi wangu ni kwamba we are doing a liverpool, na pengine tutakuwa zaidi ya walivosota liverpool,
Hofu yangu naiona ikisogea kuwa kweli, taratibu, ni vema sasa tukakubaliana na hali halisi,
Inaumiza sana pale ambapo unalipa wachezaji mapaundi ya pesa kila wiki, halafu wanakua-outclassed na wachezaji wanaolipwa hata robo ya mshahara wao haufiki, hii ni game ya nne sasa tunacheza hovyo, hata vs watford tulikua hovyo,
We need a miracle kuwafikia city na liverpool ya msimu huu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna vitu united na board kwa ujumla wanatakiwa kukubali kuirejesha united ile ni swala ambalo haliwez kutokea kwa kubahatisha kwa kuendelea kuwaongezea contracts wachezaji kam Phil jones,Ashley young,Chris smalling..Team ina mapunguf makubwa sana ambayo yamesababishwa na kukosekana kwa right players watakao dumu katika falsafa ya united izo team ulizotaja investment yao ilifanywa na watu wa mpira ndio maana wameweza kuwa threat kwan Liverpool 4 years back walikuwaje? Wamefanya right decisions kwenye kurejesha ushindan wao kweny PL ata Liverpool wakikosa ubingwa msimu naiona itakuw vizur kmchallenge cityHofu yangu ilikua ni united ile tunayoijua, ikatufanya tutambe, tushinde mataji ya ligi consecutively, mfululizo, ile united yenye timu ya kuaminika, haitakuja kurudi kamwe!! Na kama ikirudi basi itakuwa baada ya miaka ambayo tutakuwa wazeee kabisa, wasiwasi wangu ni kwamba we are doing a liverpool, na pengine tutakuwa zaidi ya walivosota liverpool,
Hofu yangu naiona ikisogea kuwa kweli, taratibu, ni vema sasa tukakubaliana na hali halisi,
Inaumiza sana pale ambapo unalipa wachezaji mapaundi ya pesa kila wiki, halafu wanakua-outclassed na wachezaji wanaolipwa hata robo ya mshahara wao haufiki, hii ni game ya nne sasa tunacheza hovyo, hata vs watford tulikua hovyo,
We need a miracle kuwafikia city na liverpool ya msimu huu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nafasi ya sita ci inajulikana kabisa huwa ni yenu? Sisi tutawachia soon nafasi yenu mkuu..
mechi ya jana imenifanya nizidi kuwachukia wachezaji wa kiingereza.
inawezekana phelan, mckena, carrick wanamtijia ujinga OGS wa kupapatikia vichezaji vibovu vya kiingereza.
tusidanganyane wachezaji wapya wanne hawatutoshi, tunahitaji wachezaji 8 wa kuongeza nguvu.Hivi ni sababu gani ilimfanya Ole kumtoa Lukaku na kumwacha Lingard uwanjani?
6 wawe world class tatizo linakuja hakuna world class anapenda kucheza futuhitusidanganyane wachezaji wapya wanne hawatutoshi, tunahitaji wachezaji 8 wa kuongeza nguvu.
zipo timu kama liverpool na man city ndizo zinapaswa angalau zitafute wachezaji wapya watatu tofauti na sisi.
Hahahaah ole anajua zaid yaoNyinyi hampo na wachezaji pale carrington acheni lawama! OGS mmasai ndio anajua nani acheze nani sub! Hamjui soka menejimenti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cc. MalafyaleNyinyi hampo na wachezaji pale carrington acheni lawama! OGS mmasai ndio anajua nani acheze nani sub! Hamjui soka menejimenti.
Sent using Jamii Forums mobile app
utakuepo kama mpenzi mtazamaji tu sio kushiriki kwenye mashindano. Level zenu nyie ni futuhi tu.Bado sijakata tamaa uefa mwakani naamini nitakuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Refa aliyewachezesha na Cardiff akiechezesha mechi zenu zilizobaki ndio mtaondoka hapoMkuu nafasi ya sita ci inajulikana kabisa huwa ni yenu? Sisi tutawachia soon nafasi yenu mkuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo swali nilijiuliza jana, timu inataka goli unamtoa Lukaku na kumwacha Lingard ambaye hakuwa na kiwango cha maana siku ya janaHivi ni sababu gani ilimfanya Ole kumtoa Lukaku na kumwacha Lingard uwanjani?
Mkuu ni kweli lakini je board ipo tayari kutoa hizo pesa maana wachezaji wakali 8 itatugharimu kama pauni MIL 670 mpaka paun mil 700 hahahahahtusidanganyane wachezaji wapya wanne hawatutoshi, tunahitaji wachezaji 8 wa kuongeza nguvu.
zipo timu kama liverpool na man city ndizo zinapaswa angalau zitafute wachezaji wapya watatu tofauti na sisi.
fedha ya kufanya matumizi ya wachezaji kuanzia 6 hadi 8 sidhani kama ipo kwa msimu mmoja kama tutaamua kutafuta wachezaji wa bei ghali, na kama haipo hata msimu ujao mwendo utaendelea kuwa ni huu wa kucheza vizuri mechi tano then tunacheza ovyo mechi 5 (inconsistent).Mkuu ni kweli lakini je board ipo tayari kutoa hizo pesa maana wachezaji wakali 8 itatugharimu kama pauni MIL 670 mpaka paun mil 700 hahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mkuu ndio unatakaga mtu kama tony pulis ndio aifundishe man u??So during mourinho era we had a very good and complete squad and every single loss was because of him, now he's gone and our squad turned into shit, we need six to seven new players???
Utd fans is the real definition of hypocrisy.
Sent using Jamii Forums mobile app