GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Kapewa mkataba Wa miaka mitatu.....Hii ni mechi yake ya pili tangu awe kocha rasmiKwani tayari OGS kashakuwa kocha mkuu rasmi wa kudumu MUFC?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huqa sielewagi Wewe ni fan wa timu gani? Maana Liverpool akishinda kwako ni shangwe tu ..manure naye ivo ivo ..leo manure kapigwa kwaiyo utahamia liver adi mwisho wa msimu???Young nyekundu, duh kuchomoka na point hapa itakuwa bahati
Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
Na ndo timu hii hii iliwapa morari mashabiki wakaamini wamerudi tenaSio gundu timu hamna pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaaaa huyo ni bendela fata upepoMkuu huqa sielewagi Wewe ni fan wa timu gani? Maana Liverpool akishinda kwako ni shangwe tu ..manure naye ivo ivo ..leo manure kapigwa kwaiyo utahamia liver adi mwisho wa msimu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Apa leo ni mkesha huu msiba mzito sana..Ila mimi bado sioni kama tuna kocha na timu yenye kupigania matokeo uwanjani.
Huyu Ole sina imani na ukocha wake licha ya kutuvusha nyakati ngumu.
Hahaaaa
Tatizo kubwa mkuuHuu uingereza nao unachangia kuiua hii team, ivi kuna mtu anaweza kunambia tangu mpira unaanza lingard alikuwa anafanya nini mle ndani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahahaha uyu mtu sidhani kama atakuwa salama kweli..- Mc Cane
-Mc Cane
- Mc Cane
Mchambuzi uchwara njoo na Article zako sasa zilizojaa Mchele tupu
Mkuu naona unawakabia juu kwa TorreiraManyumbu wamekaa nafac ya tatu kwa dk12 tuView attachment 1061509
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Ole Noma sijui nn uyo sasa kashaanza kupapaswa kijambio na wolvesNina hasira sana juu ya hii timu siamini kama tumefikia hapa mamaeeeeeee .. man u nimegundua hatuna timu aisee wachezaji wa maana hawazidi watatu zingine taka taka tu za kucheza huko fulham..kila nikiichek city naona namna gani kuna big gap ya kikosi kwa sasa ..sijui hata wa kumlaumu
Hahahaha mzee baba huwa simuelewagi ni fan wa timu gani uyu memba mwenzetu ...au kwa ufupi yeye ataki stress kama sakina radika au Mc cane; yeye kwake ushindi ni shangwe tuuHahhaaaa huyo ni bendela fata upepo
'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Bange zinawafanyaga watu wanajiona wachambuz kumbe empty set kbsa- Mc Cane
-Mc Cane
- Mc Cane
Mchambuzi uchwara njoo na Article zako sasa zilizojaa Mchele tupu