Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unataka ugomvi na mashabiki maandazi wa Manchester, they know nothing about rivalry in football, imagine anakuambia hatushindani na liver inamaana tunashindana na spurs
Top 4 ni muhimu kuirudisha timu kwenye track kuliko rekodi. Kutoshiriki Champions League kunaathiri sana brand na inatatiza ku-attract best talents na top class players kuja United.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naungana na wewe..there is nothing we can do we that combo anymore i.e Pogba Matic Herrera
aturudishie 4-2-3-1​
wapo wadau wanashauri nafasi ya matic apewe mctominay kiukweli si wazo baya kwa sababu dogo atazidi kujiongezea uzoefu lakini huyo mctominay anatupa kitu gani cha zaidi tunapotafuta goli?
kuna timu ukicheza nazo hutakiwi kuingia uwanjani na defensive mentality, kufanya hivyo ni kuzipa sababu ya kuchezea sharubu zako.
 
Reactions: BAK
Unachokisema ni kweli wachezaji ni tatizo pia.

Lakini kumbuka pia Sarri alikuwa nao pre-season, akijiandaa kwajili ya ligi nzima.

Ukija kwa Ole, kama sikosei katangazwa katikati ya wiki, weekend kuna mechi.

Halafu kilikuwa kipindi kile cha mechi za kila baada ya siku tatu. Akatoka hapo akutana na mechi ngumu.
Sidhani kama inakuwa rahisi kubadili mfumo ktk hali kama hiyo.

Sent using simu mbovu
 
mkuu, ndoto yako unataka kuona msimu ujao tunacheza soka la aina gani?
unadhani mabadiliko ya kiuchezaji yatatokezea ndani ya pre season?
 
Kwa maana hiyo unataka wasajili kikosi kipya kingine kwa hayo maoni yako ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Douglas Costa hana madhara sana na hafai kwa man united
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana media zinaitumia man u kuuza magazeti yake tu hata kama hawana interests na mchezaji husika
Media za kiingeraza ni za hovyo kuwahi kupata kutokea..too selfish

Muda utakuwa ni mwalimu mzuri kuhusu Ole na mipango yake,kama atakuwa anatujazia waingereza pale sijui tutakuwa ni timu ya aina gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Man u wala haiwezi kumsajili Odoi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…