Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
ok kumbe nimedandia gari kwa mbele, 🙏🙏🙏
mechi yao itakuwa ni mwezi wa tano hivyo basi ndani ya mwezi mmoja huu yeyote anaweza kupoteza muelekeo kati yenu.
kadri mutakavyoendelea kupata ushindi mutazidi kuwapa pressure lakini mukipoteza alama ovyo itakuwa ni kizaazaa.
jamaa yenu hunishangaza sana kwenye mechi za ugenini anavyopenda kumuanzisha henderson, klopp ana chembe chembe za uoga uliopitiliza.Kwa kikosi chao na ile kuwa na kocha mwenye winning mentality naona watatushindia hapo.
Sisi kocha wetu siyo risk taker, anaogopa kusemwa hivyo analazimisha kuchezesha wachezaji wanaopendwa na wanazi ili tu asipondwe kama tukifungwa.
jamaa yenu hunishangaza sana kwenye mechi za ugenini anavyopenda kumuanzisha henderson, klopp ana chembe chembe za uoga uliopitiliza.
msimu ujao muingie tena sokoni ili muongeze upana wa kikosi cha kwanza.
Liverpool alipo ni pazuri. Akianza issue za trial and errors inaweza kupoteza timu. Liver tatizo siyo kocha sema wachezaji wamechoka. Mpira wa Liver na Tots ni wa nguvu na kasi, kocha anapaswa kuwa na kikosi kipana ili kufanya rotationSasa hivi Klopp kashanikera mpaka nimezoea, nimeamua kuamini kwamba hatuwezi kuchukua ubingwa chini yake.
Ikitokea ni kheri, ila siyo risk taker.
We jamaa hovyo sana
Liverpool alipo ni pazuri. Akianza issue za trial and errors inaweza kupoteza timu. Liver tatizo siyo kocha sema wachezaji wamechoka. Mpira wa Liver na Tots ni wa nguvu na kasi, kocha anapaswa kuwa na kikosi kipana ili kufanya rotation
Sent using Jamii Forums mobile app
Wan Bissaka sawa,ila hao wengine sidhani kama tutakuwa tumelamba dume..Sancho dortmund wanataka £90+,,sasa huu si ukichaa??sijawahi kumuona sancho zaidi ya youtube.
sijawahi kumuona declan rice ambaye yupo west ham
wan bissaka namuona dhidi ya manchester united wanapokutana
Odoi ndio hivyo sina muda wa kuangalia mechi za chelsea.
wajuzi wa mambo tafadhalini naomba mutusaidie, endapo tutawapata wawili kati ya hao je tutakuwa tumeramba dume au ndio yale yale ya kila siku?
Tanayzer umekuwa ukiwapigia chapuo sana hao jamaa wasajiliwe naomba utusaidie.
angelikuwepo mourinho nisingelikuwa na stress kuhusiana na wachezaji wa kiingereza.Wan Bissaka sawa,ila hao wengine sidhani kama tutakuwa tumelamba dume..Sancho dortmund wanataka £90+,,sasa huu si ukichaa??
Naamini sokoni kuna watu wakali tu ambao wakiletwa timu yetu ita-advance
√Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)
√Erisken(Spurs)
√Wan Bissaka (crystal Palace)
√Douglas Costa (Juventus)
Hawa watoto wa kiingereza wataitaji maturity kitu ambacho kwa sasa hatukiitaji
The coach after me [Mourinho] changed to park-the-bus tactics and played on the counter. Now there is another coach who parks the bus and plays on the counter. The main difference between Mourinho and Solskjaer is that Solskjaer is winning.
kwa hisani ya bwana louis van gaal
Media za kiingeraza ni za hovyo kuwahi kupata kutokea..too selfishangelikuwepo mourinho nisingelikuwa na stress kuhusiana na wachezaji wa kiingereza.
smalling, jones, young, shaw, rashford, lingard, mctominay wameshatosha hatuhitaji wazembe wengine.
kiukweli hatufahamu anachokiwaza OGS muda huu.
je ana tabia za baba yake ferguson za kutafuta english players ili awasaidie FA?
tetesi za douglas costa zimezikwa rasmi kwenye media za kiingereza tunachezeshwa mdundo wa sancho, odoi.
Ila naona michezo ijayo Matic apumzishwe Scott apewe nafasi.
Huyu mzee anaweza kuwa kweli(isipokuwa mechi ya cardiff).The coach after me [Mourinho] changed to park-the-bus tactics and played on the counter. Now there is another coach who parks the bus and plays on the counter. The main difference between Mourinho and Solskjaer is that Solskjaer is winning.
kwa hisani ya bwana louis van gaal
sijawahi kumuona sancho zaidi ya youtube.
sijawahi kumuona declan rice ambaye yupo west ham
wan bissaka namuona dhidi ya manchester united wanapokutana
Odoi ndio hivyo sina muda wa kuangalia mechi za chelsea.
wajuzi wa mambo tafadhalini naomba mutusaidie, endapo tutawapata wawili kati ya hao je tutakuwa tumeramba dume au ndio yale yale ya kila siku?
Tanayzer umekuwa ukiwapigia chapuo sana hao jamaa wasajiliwe naomba utusaidie.
Wan Bissaka sawa,ila hao wengine sidhani kama tutakuwa tumelamba dume..Sancho dortmund wanataka £90+,,sasa huu si ukichaa??
Naamini sokoni kuna watu wakali tu ambao wakiletwa timu yetu ita-advance
√Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)
√Erisken(Spurs)
√Wan Bissaka (crystal Palace)
√Douglas Costa (Juventus)
√Bergwijn (PSV eindhoven)
Hawa watoto wa kiingereza wataitaji maturity kitu ambacho kwa sasa hatukiitaji
The so called Utd fans praying for liverpool to win this match so we can be level in points with spurs.
Am i surprised? ABSOLUTELY NOT
These are the same fans who wanted one of the most successful manager in the history of football to be sacked and replaced by the manager with relegation status in his CV.
Upo sawa...lakini pia recently uholanzi ndo kumekuwa jicho la timu nyingi..De jong kaenda Barca,,De light bado anagombania na liver pamoja na bayern na wengine wengiBergwijn ni mzuri lakini, nina wasiwasi na hawa wachezaji wakidachi ambao wanatamba kwao, na wakienda ligi nyingine wanazingua..... Mfano Depay, japo sio lazima wote wa fail kama Depay
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa...lakini pia recently uholanzi ndo kumekuwa jicho la timu nyingi..De jong kaenda Barca,,De light bado anagombania na liver pamoja na bayern na wengine wengi