Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya Ole kupata mkataba, naanza iona Manu ikicheza mpira butu kabisa.
Welcome back to REALITY.
 
Hatuchezi vizuri,sijui kama ni mimi pekee naona tatizo letu lipo katikati ya uwanja zaidi na sio nyuma.
Habari ndio hiyo, Solskjaer keshapewa shavu. Kamaliza kazi. Sasa hivi huu ndio mziki mpaka anafukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…