Kwangu Mimi best option ni Eriksen ambaye ameprove kucheza vizuri sana kwenye English footballOption za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)
Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)
Ndombele (Lyon)
Christian Ericksen (Spurs)
Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)
Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)
Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu
Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)
Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial
Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanataka kutuaminisha kuwa Pogba hana replacement Kitu ambacho siyo kweli mbona vipaji vipo vingi sana !Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)
Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)
Ndombele (Lyon)
Christian Ericksen (Spurs)
Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)
Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)
Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu
Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)
Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial
Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
team inahitaji kudevelop sio kilo siku tunaanza mojaHakika ndiyo maana watu wanadhani pogba hana replacement mbona Beckham aliondoka na team iliendelea kubounce vizuri tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
haya lete maneno sasa ni kweli Pogba anafanya makosa mengi kuliko yale mazuri anayofanya?? ni kweli Pogba commitment yake ni hovyo kwa level hii mnayoizungumzia??Hatujakataa kuwa pogba ni fundi lahasha bali tunajaribu kuangalia makosa yake uwanjani na commitment yake kwa team.
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna kosa la kawaida uwanjaniMakosa ya Ashley Young ni ya kawaida kiuchezaji ya pogba angalia mengi husababisha tufungwe worse enough team inacheza kwa kumtegemea kama key man kwahiyo mistake Moja tu inaharibu kila Kitu.
Unakumbuka kosa la Gerald dhidi ya Demba Ba ? Makosa ya pogba uwanjani ni type hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
pia Man United isajiri kisa Bayern wamefanya hivyo?? au ulikuwa ukimaanisha nini mkuuUpdate :Bayern complete signing of Lucas Hernandez from Altelico Madrid
Kwangu Mimi best option ni Eriksen ambaye ameprove kucheza vizuri sana kwenye English football
Sent using Jamii Forums mobile app
As long as top four ni uhakika next season hakuna tatizo.hahahahahaaaaaa nakumbusha tunaelekea mwezi wa 4.
vipi DOF ashapatikana?
Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)
Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)
Ndombele (Lyon)
Christian Ericksen (Spurs)
Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)
Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)
Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu
Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)
Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial
Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Who told you top 4 ni uhakika ?As long as top four ni uhakika next season hakuna tatizo.
DOF
Mi naona tungempa sanchez hilo jukumu, maana uwanjani, ndio basi tena. Na kwa pesa tunayomlipa [emoji48]
Sent using simu mbovu
Tatizo mnataja majina ilihali hao wachezaji mnaowataja hawapo sokoni wakati huu.Watu wanataka kutuaminisha kuwa Pogba hana replacement Kitu ambacho siyo kweli mbona vipaji vipo vingi sana !
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani tayari una timu ina gaps sehemu kadhaa,Option za kum replace Pogba zipo nyingi (like to like replacement)
Bruno Fernandez (Sporting Lisbon)
Ndombele (Lyon)
Christian Ericksen (Spurs)
Wengine tunawaachia Scout Network ya United ambayo inatajwa kuwa ni Network kubwa kuliko zote ukimwenguni wanaweza kupata mbadala (Unless mniambie siku Pogba akiondoka United ndio itakufa)
Lakini pia Pogba anaweza kuwa replaced kwa kubadili mfumo (sio like to like replacement)
Badala ya 4-3-3 ikawa 4-4-2 na wachezaji wanaoweza wenye uwezo mkubwa duniani wapo wengi tu
Mfano kwenye 4 ya nyuma (unaongeza Koulibaly au De Legt)
Kwenye 4 ya kati unaweka Matic/Herrera, Bruno Fernandez/Ericksen/Ndombele/Nerves (Wolves) n.k., Sancho, Martial
Kwenye 2 ya mbele unaweka Lukaku na Rashford/Lingard/Mata/Usajili mpya wowote
Sent using Jamii Forums mobile app
Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzigpia Man United isajiri kisa Bayern wamefanya hivyo?? au ulikuwa ukimaanisha nini mkuu
Next season it may be.
Dunia ngumu hii kuishi..na LENO nae yupo kwenye makipa bora eti [emoji23][emoji23][emoji23]Sasa De Gea anaeza mueka benchi Kepa kweli? Kepa kwa umri wake ameprove kwamba yeye ni mara kumi ya uyo De Gea na anastahili namba moja national timu..
Akitoka Oblack..
Ni Allison..
Kepa..
Leno..
De Gea..
Sent using Jamii Forums mobile app
Bayern has better squad than United (Tiago,Hummels,Sanches,Gnabry,Sule,Kimmich,Alaba,Goretzka,Tolliso,Coman) plus experience players like Neuer,Robben,Ribery,Martinez,Lewandowski,Boateng & Muller but they are still working hard to rebuild their team ,they have already sign 2 World Cup young defenders (Benjamin Pavard and Lucas Hernandez) and still working hard to sign CHO from Chelsea & Timo Werner from Leipzig
They are not struggling on this because their management (decision maker ) are people who understand football (Rumminege,Hoenes & Salihamidzic) unlike United which all technical decision are made by one man(Accountant)
Klopp has the same number of trophy for Liverpool as Solskjaer has for United,Klopp has been in charge for 4 years while Solskjaer has only 4 month