Watu wanaomdharau Lukaku huwa siwaelewi kabisaIcard ni gambling kuja epl.Lukaku bado ni potential aise ulimwengu wa sasa una pure 9 wachache sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuc.ky u dude, umeongea analysis Bomba Sana, nadhan we should get up, and walk awayWatu wanaomdharau Lukaku huwa siwaelewi kabisa
Leo tunamuona Icard wa maana kwa kuwa hayupo timu yetu lakini akija probably tutamkataa
Tulimtaka sana Morata, kwa sasa tukiambiwa tumchukue sidhani kama wapo watakaomkubali
Tulimtaka sana Lindelof, tulimtaka sana Fred, tulimtaka sana Bailly, tulimtaka sana Micki lakini je bado leo tunawakubali kama kipindi ambacho tulikuwa hatujawapata
I'm sure kuna timu nyingi sana zinamtolea macho huyu jamaa, ngoja tujichanganye
By the way, msimu uliooita Lukaku was the fastest player at United, kwa wanaosema Lukaku is slow walitambue hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi namuelewa Lukaku hasa baada ya kumuangalia kwa makiniWatu wanaomdharau Lukaku huwa siwaelewi kabisa
Leo tunamuona Icard wa maana kwa kuwa hayupo timu yetu lakini akija probably tutamkataa
Tulimtaka sana Morata, kwa sasa tukiambiwa tumchukue sidhani kama wapo watakaomkubali
Tulimtaka sana Lindelof, tulimtaka sana Fred, tulimtaka sana Bailly, tulimtaka sana Micki lakini je bado leo tunawakubali kama kipindi ambacho tulikuwa hatujawapata
I'm sure kuna timu nyingi sana zinamtolea macho huyu jamaa, ngoja tujichanganye
By the way, msimu uliooita Lukaku was the fastest player at United, kwa wanaosema Lukaku is slow walitambue hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool are set to miss out on £70m-rated Ajax sensation Matthijs De Ligt with the Barcelona president flying to Holland to broker a transfer. (Sun)
Walio serious na usajili sie ni rumors
Hawa jamaa wanahamishia Ajax yote kwao ?De ligt yeye mwenyewe alishasema kwamba anataka kwenda Barca so labda Barca wamkatae ndo aende timu nyingine
Hawa jamaa wanahamishia Ajax yote kwao ?
Hivi na Cisto wameshachukua ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa wanahamishia Ajax yote kwao ?
Hivi na Cisto wameshachukua ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipikuwa nafatilia ulichosema ni kwelBarca na Ajax mifumo yao inaendana ndo maana barca wanapenda kusajili madogo wazuri wa Ajax coz ni rahisi kuadopt, wote wanacheza Tiki-taka football mfumo wa Legend Yohan Cruyff
Pia wana mpango wa kuingia makubaliano na Ajax kuhusu academy yao , wawe wananunua vipaji kwa kupewa kipaumbele linapokuja swala la kutaka mchezaji,Hawa jamaa wanahamishia Ajax yote kwao ?
Hivi na Cisto wameshachukua ?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo kwa upande wako sasa au lets assume we ndo player halafu bosi wako kaleta mkataba mezani wewe hujakubaliana nao ukakataa means na wewe ni "mpumbavu" na hauna discipline kwahiyo bosi wako akuache hawezi fanyakazi na "mjinga" kama weweMmeamkaje watu wa Tanzania, jabarini za mchana amerika.
Natamani apatikane box to box canibre ya scholes, Keane, schntitiger, mjamaa anajina gumu, iniesta, herera, kiungo ya kweli.
Au sio Pereira, herera wapate fast dm wenzao wakutosha.
Kirusi Cha mshahara kinaisumbua timu sosha sijui atazuiaje hiking kitu
Kwa mtazamo wangu, anaetikisa kwa sabb ya salary, akakataa kusaiini mkataba, to hell, muache, pambavu.
Kwanza ni indiscipline, huwezi ish na mjinga Kama huyo
11:17
UTD CLOSE TO OLE APPOINTMENT
Manchester United may not even wait for the Premier League to return before appointing Ole Gunnar Solskjaer as manager, reports the Daily Mail.
Solskjaer's impressive form since taking over at Old Trafford has seen him pick up more points than any other manager in that time - despite losing their last two games to Wolves, in the FA Cup, and Arsenal.
Mtu pekee anayefaa kuwa nahodha pale United ni Ashley Young au Juan Mata wengine hawana hizo leadership personality ni kuwabebesha mizigo wasiyoiweza.Ole ikitokea amepewa kazi basi awe makini sana na Pogba,anaweza kumharibia kazi.
Pia kosa kubwa zaidi ni kumfanya Pogba ajione mkubwa kuliko wachezaji wote, hii itazidishwa zaidi ikiwa watampa unahodha. Pogba hafai kuwa nahodha.
Ushauri wangu, United wampe Herrera mkataba wa muda mrefu na mshahara anaohitaji pamoja na Unahodha.
Sio rahisi kumpata mtu anayeipenda timu kama Herrera.
Haiingii akilini Martial na kina Jones kuvuta mkwanja mrefu kuliko Herrera.
kwanini Pogba asipewe na Herrera apewe hebu fafanua kidogo mkuuOle ikitokea amepewa kazi basi awe makini sana na Pogba,anaweza kumharibia kazi.