Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Hata ukimwangalia leo alikuwa na ubishoo mwingi sana uwanjani bado timu ina safari ndefu sanaHii timu ina utoto mwingi mkuu, nadhani Nani alikuwa anacheza na wenye MUFC yao ndio maana alikuwa anapambana.
Tatizo lingine ni pale watakapompa Pogba unahodha, ndio wataharibu kila kitu maana hata Pogba ana utoto anatakiwa apate wa kumkemea.
No interim manager.
Msha anza kumkataaNo interim manager.
Sent using simu mbovu
Tuzibeni kwanza mapengo yaliyopo ndio tuanze kuleta watu wa kucompete nafasi zilizo na watu.Martial hamna aisee...waletwe watu
Hivi si mnamwangaliaga Sadio Mane anayoyafanyaga akitokea on left flank??
Lingard must go
Rashford must go too
Tofauti na hapo naamini tutaendelea kuwa wajinga wajinga tu
Bonge la kikos wametiwa viwilii na vikamweneeeeeeRomero, Dalot, Shaw, Smalling, Lindelof
Herrera, Matic, Pogba
Lingard, Martial, Rashford
bonge la kikosi lets see
Mmeanza kuwakataa sasa hao sindio walicheza game 9 zilee mfululizo bl kufungwa sindio wamewatoa arsenal na chelsea fa.. sindio wamewatoa psg uefa au ulkuw upepo wa mdaaa upepo umekataaa sasa mmeanza kukimbiana sasaaNilishawahi kusema humu ndani, wachezaji tulio nao pale Manchester ni de gea na pogba tu, hawa wengine ikiwezekana tutoe tu hata misaada kwa timu zisizo na uwezo kutoka farmer league kama serie A na league one, wachambuzi wenu uchwara wakanijia juu sana. Eti oooh rashford rashford, who the fuvk is rashford? Hapati namba hata MK dons
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikurupuke ku comment kama ni mgeni humu, tafuta post yangu yoyote ambayo nimewahi kisifia hiki kikosi na kocha wao, ukiipata moderator wanipige ban sasa hivi.Mmeanza kuwakataa sasa hao sindio walicheza game 9 zilee mfululizo bl kufungwa sindio wamewatoa arsenal na chelsea fa.. sindio wamewatoa psg uefa au ulkuw upepo wa mdaaa upepo umekataaa sasa mmeanza kukimbiana sasaa
Sent using Jamii Forums mobile app
ACHA UNAAFIKI UNGESHINDA USINGESEMA HAYOUsikurupuke ku comment kama ni mgeni humu, tafuta post yangu yoyote ambayo nimewahi kisifia hiki kikosi na kocha wao, ukiipata moderator wanipige ban sasa hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kipindi tunashinda tisa mfululizo msimamo wangu ni huu huu, sasa unaposema nisingesema hayo na wakati sijaanza leo kusema nakua sikuelewi.ACHA UNAAFIKI UNGESHINDA USINGESEMA HAYO