Huyo man city kala chuma 5 na monaco kapigea nje ndani na liverpoolSasa unafananisha Man city na PSG? Aya sasa Barca uyooooo
R.I.P manure..
Sent using Jamii Forums mobile app
Naumia na nini sasa? Ukipewa ajax robo final halafu final unakutana na juve au barcelona umefanya nini?Inaonyesha umeumia sana..ila ndo hivyo Man city itakuwa kuna mpunga anatoa ...kuanzia carabao anapewa vibonde tu ila na uwezo una mbeba pia..
Sent using Jamii Forums mobile app
mngemuazima De Mateo kwa muda angewapa mbinu za kuifunga Barca..Takwimu za Messi vs timu EPL
:
Arsenal - Magoli 9, Assists 2
Man City - Magoli 6, Asissts 3
Chelsea - Magoli 3, Assists 3
Man United - Magoli 2, Assists 0
Spurs - Magoli 2, assists 0
Liverpool - Magoli 0, assists 0
Barca kafungwa mara tatu na final moja mwaka 1990 tumechukua kombe la washindi barani ulaya mbele yao yaani chelshit kaibutua had na assistmngemuazima De Mateo kwa muda angewapa mbinu za kuifunga Barca..
Kama ni Ole mnategemea basi mali imeisha ile...
Kama Fargie na ubora wa kikosi chake alitobolewa mara mbili fainali usitegemee kipya kwa uyo Ole..
Halafu apo mwisho ungesema King Mess 2-manure0
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tumeanza kutanguliza pole mapema ili kuepuka kuitwa wanafiki ..Barca kafungwa mara tatu na final moja mwaka 1990 tumechukua kombe la washindi barani ulaya mbele yao yaani chelshit kaibutua had na assist
The only difference I can see is Camp Nou mnakula za kutosha mkirudi OT mnaenda kulazimisha draw.Unakutana na timu inaitwa Praha
Man Utd anakutana na timu inaitwa Barcelona
Can u see the difference?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umehama genge la wahuni chelshit? Ndo shida ya kufuata timu zenye mafanikio kizazi cha mourinho bana mnapata tabu sanaSisi tumeanza kutanguliza pole mapema ili kuepuka kuitwa wanafiki ..
Tukumbushane kwanza ile fainali Fargie alitetema kidogo adondoke baada ya goli la Messi..
R.I.P Manure..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mimi nimejadili nini.?Huku tunajadili Uefa mkuu. Hatujadili ishu za Futuhi
Sasa ingekuwa hivyo barcelona si angekuwa level moja ya makombe na madrid au ac milan maana yeye kila mechi ni kushinda tuThe only difference I can see is Camp Nou mnakula za kutosha mkirudi OT mnaenda kulazimisha draw.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ingekuwa hivyo barcelona si angekuwa level moja ya makombe na madrid au ac milan maana yeye kila mechi ni kushinda tu
Mpaka sasa sisi tupo fainali europa na tutachukua ili kuhakikisha msimu ujao unashiriki europa..Umehama genge la wahuni chelshit? Ndo shida ya kufuata timu zenye mafanikio kizazi cha mourinho bana mnapata tabu sana
Na hivi muwekezaji kaanza kununua vibabu mtapata tabu sana
Mbabe wake ni yupi ambae kila mwaka anamtoa had madrid kapiga hatrik?Ana wanyonge na wababe wake yule. Nadhani umenielewa nachomaanisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongereni kwa kufika finalMpaka sasa sisi tupo fainali europa na tutachukua ili kuhakikisha msimu ujao unashiriki europa..
Wewe cjui unategemea nini msimu huu..
Uefa wameamua kuwatwisha mzigo mzito mnoo wakati wanajua kabisa hamuwezi kuubeba
Mungu anawaona ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbabe wake ni yupi ambae kila mwaka anamtoa had madrid kapiga hatrik?
Unatakiwa ukubali kwamba kumtoa PSG ulibahatisha tu ..sasa kwa Barca iyo bahati hakuna ..Hongereni kwa kufika final
Unapiga kelele sana kama mlevi mpira ungekuwa unachezwa jf basi genge lako la wahuni lingebeba kila kombe hapa duniani timu yenyewe hata kumfunga bornemouth mtihaniUnatakiwa ukubali kwamba kumtoa PSG ulibahatisha tu ..sasa kwa Barca iyo bahati hakuna ..
Halafu kwako nachukua point nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlio na mikosi kimpango wenu chelsea kapigwa kwake 2-0 juventus kafa kwake 2-1 psg kafa kwake 3-1 hizo bahat gani unazinadi?Unatakiwa ukubali kwamba kumtoa PSG ulibahatisha tu ..sasa kwa Barca iyo bahati hakuna ..
Halafu kwako nachukua point nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni utani nyie kumfunga mtu goli tatu kwa moja akiwa nyumbani mnasema kabahatisha kweli...???Unatakiwa ukubali kwamba kumtoa PSG ulibahatisha tu ..sasa kwa Barca iyo bahati hakuna ..
Halafu kwako nachukua point nne.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisaMan Utd inatakiwa itoe kitita kinono kwa kocha kusajili wachezaji majembe wa kuziba nafasi muhimu.
Timu ina mapungufu sana. Ukiangalia fixture ya Man City ndo utajua umuhimu wa kuwa na kikosi kipana.
Angalia;
April 9/10 - Man City vs Tottenham (A) UCL
April 14 - Man City vs Crystal Palace
April 16/17 - Man City vs Totenham (H) UCL
April 20 - Man City vs Tottenham (H)
April 24 - Man City vs Man Utd (A)
Kama una kikosi legelege lazima ule za uso zote. Mechi zote muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakunaga bahati kwenye professional football .mzaid ya bidii zako.Unatakiwa ukubali kwamba kumtoa PSG ulibahatisha tu ..sasa kwa Barca iyo bahati hakuna ..
Halafu kwako nachukua point nne.
Sent using Jamii Forums mobile app