Tunawamudu Barcelona..Barcelona hii ya saivi haina maajabu
Barca ya Xavi na Iniesta sio hii ya leo,wachezaji wetu wakicheza kiume hii game haitabiriki.
Kibaya zaidi ni kuwaacha watawale pale kati kama watakavyo, hapo ndio tutapata aibu.
Barcelona wakawaida sana saivi..Hapa sikubaliani na nyie kwamba manchester united ni mbovu kiasi kwamba mech nyepesi kwa barcelona?
Na hichi ndicho kilichomponza psg alienda kwake akasinzia kuamka dakika ya 93Barcelona wakawaida sana saivi..
Watu wametunderrate sana..
Kwenye soka la ulaya barca sio Club tishio ndio maana hawajafika nusu ya madrid, kama mwenye kombe lake katoka hawa mnawaweza
Herrera akim man mark huyu jamaa, timu yote itakuwa haitembei
Hata scott mctominayHerrera akim man mark huyu jamaa, timu yote itakuwa haitembei
Barca are too dependent on Leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo upi Safari ya barca imefika ni kawaida yake kutoka robo atoboi, angekuwa bora angekuwa na vikombe 10 acha uoga kama unaoga nje
Sio poa kabisa.
Mkuu kombe la Fa lenyewe tumekutana na vigogo na wote tumechomoa
Ni kweli mkuu ila mechi ngumu nawaza tunavyopenda kuwaachia timu pinzani itawale game kati pale sijui itakuaje wale jamaa na samba yao.Mkuu kombe la Fa lenyewe tumekutana na vigogo na wote tumechomoa