Hawa hapa wanakaribishwa na Cristal PalaceManyumbu mnakumbushwa tu, Man city kashinda 7
hivo mjipange ,msije kusema hamkuambiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao malimbukeni Mkuu, si unajua inachukua miaka mingi mpaka waje waifunge tena United
Sasa wasipoongelea sana huu ushindi wao wa sasa hivi, si watakaa labda miaka 5 baadae ndio wapate matokeo dhidi ya United tena
Mkuu jaribu kuwaelewa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa ni kufungwa tu, Bado na sisi tunawasubiri.Mkuu hawa Arsenane wanajifanya hawaelewi lakini wameelewa
Kwenye mpira kuna bahati pia, japo uwezo wa timu ndio una nafasi kubwa zaidi
Goli la Xhaka, ni goli la upepo (mpira ulibadilishwa direction na upepo)
Goli la Auba, ni goli la refa (poor referring decision)
United wamekosa karibu clear chances 5 kwenye ile game
Lakini mwisho wa siku United tunakubali kwamba tulifungwa, regardless of the reasons
Kitu ninachufurahia mimi ni kwamba Arsenane ndio wapo mbele yetu (kwenye top 4 race). Timu ambayo ni inconsistence kuliko timu yoyote Uingereza. Mechi chache zijazo atarudi nafasi zake na akina Everton huko.
Juzi nimecheka. Nimeona Mashabiki wa Arsenane pamoja na wale wanaokaa jukwaa maalum la mashoga wa Arsenal eti wanaimba Unai at the wheel ..... Nikajiuliza, What the f**ck couldn't they find their own song for their own coach (PSG reject)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufungwa ni kufungwa tu, Bado na sisi tunawasubiri.
Robo fainaili tupagwe na nani??
Mimi naona watupe porto au spurs
Naamini mashabiki wengi wa liver hawaombei wakutane na sisi..Nina watamani sana nyie.
Mmetuandama sana baada ya kumtoa PSG.
Naamini mashabiki wengi wa liver hawaombei wakutane na sisi..
Ronaldo akiwa na umri kama uyo dgo alitwaa mchezaji bora wa dunia ..muda huu nilikuwa naangalia marejeo ya magoli aliyoyafunga CR7 dhidi ya atletico madrid, nimebaki nashangaa kumuona tena huyu gwiji ronaldo anapopiga kichwa chenye nguvu katikati ya mabeki wagumu kama diego godin na anafunga mara mbili.
baadae naamua kujikumbusha kwa kubonyeza link yenye kuonyesha marejeo ya marcus rashford anapopiga kichwa akiwa peke yake bila ya kubughudhiwa na mchezaji yeyote wa Arsenal na hatimaye anapoteza nafasi baada ya kupiga kichwa dhaifu,
Kiukweli wanafanya dhambi kubwa sana wale wote wanaojiaminisha ya kwamba siku moja marcus rashford atakuwa mchezaji hodari kama ronaldo kwa kutumia kigezo cha umri wake na si bidii yake ya kujifunza .
Pia wanafanya dhambi kubwa sana wale wote wanaomshabikia marcus rashford unapokuja mjadala wa nani zaidi kati yake na kylian mbappe.
kwa mtazamo wangu mechi nne zilizopita marcus rashford amecheza ovyo zaidi kuliko mchezaji yoyote anayecheza eneo la ushambuliaji kwenye timu yetu lakini cha ajabu unaoneka udhaifu wa touch mbovu za romelu lukaku.
Dakika 10 za greenwood zilinifurahisha hapo juzi kuliko dakika 90 za rashford
HahahahaRobo fainaili tupagwe na nani??
Mimi naona watupe porto au spurs
Malizia kwa msaada wa refaaaaaaaaNina watamani sana nyie.
Mmetuandama sana baada ya kumtoa PSG.
Nyie manure mkikutana na Liverpool ndo basi tena ..tutabaki ku type R.I.P tu..Ninachojua mimi hakuna timu ya epl tuliyopangwa nayo uefa ikatutoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa uingereza pale labda man city ndio hatar lakin liverpool tunapiga vzr tuNyie manure mkikutana na Liverpool ndo basi tena ..tutabaki ku type R.I.P tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapenda mlima kitonga tunawata nyie mje mfanye comeback zenu ANFIELD tuone.Robo fainaili tupangwe na nani??
Mimi naona watupe porto au spurs