Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwann usiwe ukweli , Yale mabunduki unasema vigoli?Baada ya kupata vigoli vya mchekea sio?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwann usiwe ukweli , Yale mabunduki unasema vigoli?
Ukweli ni huu kwa city inayohitaji ubingwa na man u inayokaa nyuma kwa timu zinazopossess , hata sare ni ngumu kupata
Kama hauamini, siku ya mechi hii ,tukumbushane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann usiwe ukweli , Yale mabunduki unasema vigoli?
Ukweli ni huu kwa city inayohitaji ubingwa na man u inayokaa nyuma kwa timu zinazopossess , hata sare ni ngumu kupata
Kama hauamini, siku ya mechi hii ,tukumbushane
Sent using Jamii Forums mobile app
What the hell are you speaking..... zizzou aitake Chelsea timu anayoizidi hata umaarufu......are you serious kweli wew boga....Zizzou a I take timu yako 2004
Ata ya arsenal muliona ushindi kabisa..Ili tufunzu top four tunakiwa tumfunge chelsea,coz yeye anakiporo pia tushinde match yetu na city spurs anawakati mugum ataenda etihadi kwa city pia anfield kwa liverpool so anaweza kutoka top four,tusiposhinda match hizo mbili especial ya city ni ngum sana match ya chelsea naona ni winable kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu yenu iko vizuri ila ilikosa motisha tu ..Naona solskjaer alianza na timu halafu anawachezaji aliowasajili
Sent from my iPhone using Tapatalk
Tuna uhakika wa kupoteza pints 6, hili tujiandae nalo kiakili. Man City na Chelsea itakuwa km Arsenal, Chelsea hatakubali kichapo mfululizo kutoka United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona upo bize kututia ujinga ila tukasirike tuanze kukumwagia povu boya wew
Sent using Jamii Forums mobile app
PSG waliwachosha nini mkuuUchovu wa psg ndo umetufungisha so nyie manyumbu wa arsenane mkae kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mou kwa sasa mkimpa timu atakuwa amejirekebisha ..uyo Ole ni wale wale tu kama Pochettino..Mou huyu anae tukanana na wachezaji everyday haukuna chochote.
Kwanza wachezaji wakishakosana na kocha hawamsikilizi. Mou mdomo mchafu yule hana jipya wala nn.
Alikuwa anaipeleka tim pabaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo goli za man city tutazibeba na kuwakabidhi nyie manure...Hahaha...Nyie juzi tu hapa si mlikuwa mnataka mmtimue yule babu yenu baada ya kugongwa 6 sasa kipindi kile nani alikuwa na shida kati yenu na Zizou?
Kwa ufupi Ole hana future ..hajui kama atabaki manure msimu ujao, au ataondoka mwishoni mwa msimu..Unajua iko hivi
Hatusemi moja kwa moja OLe atatupatia tunachotaka.
Ila kulingana na makocha ambao wameshapita post-SAF era , wote wameshidwa kuendana na club ,japokuwa wamesheheni uzoefu wa kutosha.
Kwahiy kumpa tena club kocha wa kariba hiyo ni risk.
Ole ana faida moja kubwa anaijua man u. Si kuijua tuu anaipenda pia, na fans wanampenda.
Vilabu vikubwa hii sifa wanaizingatia sana, angalia barca au bayern
Ila pia ningependa kujua kwanni huoni OLE akifanikiwa Man u?
Sent using simu mbovu
Uyo zizzou alitoa option kama angepewa M200 angekubali kuja darajani ..lakin sisi hatukuwa na mpango naye ..pengine labda kwa sababu tumefungiwa kusajili...What the hell are you speaking..... zizzou aitake Chelsea timu anayoizidi hata umaarufu......are you serious kweli wew boga....Zizzou a I take timu yako 2004
Sent using Jamii Forums mobile app
Izo goli za man city tutazibeba na kuwakabidhi nyie manure...
Hutoamini...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajazana ujinga na kuaminishana upumbavu eti OLE ni kocha wa kuifundisha Manchester United mtaumia
Ukweli mchungu kocha pale hakuna yule ni muhamasishaji wa wachezaji tuTukuite wewe basi uje ufundishe, we si ndo unajua sana!
Ulitaka nani afundishe. Embu toa mapendekezo?Mnajazana ujinga na kuaminishana upumbavu eti OLE ni kocha wa kuifundisha Manchester United mtaumia