Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sarri ndo Kwanzaa hana hata msimu mmoja kwenya clab wachezji anaotumia hawaendan vizur na mfumo wake

Hope tutamaliza msimu katika nafasi nzuri



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uyo Ole sioni Kama atawapa mnachotaka.. Mourihno kwa mf hiv mlivo UEFA angeweza kubeba...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapa kajitahidi sana. Hata Liver hajafunga top 6 zote in out. Tulifungwa kwa Arsenal lakini hauwezi laumu sana mbinu za kocha na uchezaji wa timu. Arsenal ni timu kubwa, aliyetegemea atafungwa km Bolton ni mamluki wa soka. Zile zingine ni tambo tuu.

Hata siku tukikutana na City, tutatamba, baada ya matokeo tutakuja kivingine. Soka ni buradani haihitaji kuwa na stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…