Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Acha ushabik wa HivoKuna timu ya kujificha na wewe sio arsenal yaani timu ambayo ukiamua lako linatimia akishinda mech moja kati ya tatu ubaya uko wapi?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Au ulimaanisha tukiwajumuisha madogo, kikosi chetu kinakuwa kipana.Mbona unaacha maana ya sentensi unachikua neno?? Emu rudia kusoma utaelewa nimemaanisha nini.
Katikati hamkucheza hasa dk 20 za mwanzoArsenal gani hiyo iliyotutawala kati jana??..
Halafu kauli ya huyu mchambuzi uchwara shabiki wa liverpool wewe ndo unaitumia kama reference..
Barca atapigwa 1 - 0 na safari yake itaishia hapo.Hiki kitimu hakyanani nàtamani kikutane na Barca, ee Mungu saidia. Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unaouta uku ukiwa umelala uchi kifudi fudi.
Avatar yako inasadifu yaliyomo kichwani mwakoDegea ni mbovu mno Mara 100 ata kindoki
Yea nilimanisha hivyo, Scott na Greenwood naona wakipewa nafasi zaidi wata tufaa sana!!Au ulimaanisha tukiwajumuisha madogo, kikosi chetu kinakuwa kipana.
Sent using simu mbovu
Just a game, tumefugwa lakini we fikilia kumfunga arsenal kwake twice? Ni ngumu,, jana tulicheza ila magoli tuliyofungwa kiukweli haya epukiki kabisa,, goli la kwanza,, limenikumbusha ile mipira ya JABULAN iliyotumika ktk World cup, mipira inayokuja kwa kupinda kipa hana namna! Hata mpigaji ukimwambia arudie kuupiga tena hataweza,, goli la pili ni penalt ,, hakuna goli loliloongea kwamba goli hilooooooooo linaingia,Tuwe tu wakweli timu yetu bna ina weakneses kibao na tusipoingia sokoni kuchukua vichwa vya maana tutakua tunashinda kwa ngekewa hawa madgo akina rashford hawafai first eleven hao ni wa kuanzia bench tunahitaji watu sampuli za akina icardi..we need a total revamp kwa squad nzima..sina raha ofisini hapa nkasema acha nije nimalzie hasira humu
Mi nlihisi tu kuwa kumfunga arsenal twice ni ngumu,,Katikati hamkucheza hasa dk 20 za mwanzo
Mpaka pale mlipobadil mfumo, napo tayari sis tulikuwa na matokeo ,hivo tukawa tunacheza kulinda ushindi
Hii ni tactic ya unai ,akishapata matokeo bas mpinzan atachezacheza hapo kati lkn mech inakuwa imeshaisha
Tulifanya hivi kwa Chelsea ,tulimkamata dk 20 ,tukapata magoli mawili,
Dk zilizobak yeye ndio alicheza hapo katikati,
Ndio maana ukiangalia kipind cha kwanza possession Tuliwazid,
Kipind cha pili tukabalance mchezo, ni TACTIC tu hasa Unai akishapataga matokeo
Emery "We knew United could use different tactics but we wanted to impose our gameplan & we did that. I want to say thank you to our supporters because they helped us a lot & I think we can create a big atmosphere like today in the next matches because I think its very important"
"I'm very proud of our players. They gave all they could against the best team at this moment. We were playing very competitive for 90 minutes & I think we deserved this victory. We can be happy today" #Arsenal Gurjit on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tactic ya Arsenal/Unai akiongoza anaacha timu pinzani icheze cheze lakini anakuwa ameshapata ushindi ni nzuri sana na Arsenane wanaiweza sanaKatikati hamkucheza hasa dk 20 za mwanzo
Mpaka pale mlipobadil mfumo, napo tayari sis tulikuwa na matokeo ,hivo tukawa tunacheza kulinda ushindi
Hii ni tactic ya unai ,akishapata matokeo bas mpinzan atachezacheza hapo kati lkn mech inakuwa imeshaisha
Tulifanya hivi kwa Chelsea ,tulimkamata dk 20 ,tukapata magoli mawili,
Dk zilizobak yeye ndio alicheza hapo katikati,
Ndio maana ukiangalia kipind cha kwanza possession Tuliwazid,
Kipind cha pili tukabalance mchezo, ni TACTIC tu hasa Unai akishapataga matokeo
Emery "We knew United could use different tactics but we wanted to impose our gameplan & we did that. I want to say thank you to our supporters because they helped us a lot & I think we can create a big atmosphere like today in the next matches because I think its very important"
"I'm very proud of our players. They gave all they could against the best team at this moment. We were playing very competitive for 90 minutes & I think we deserved this victory. We can be happy today" #Arsenal Gurjit on Twitter
Sent using Jamii Forums mobile app
Livakuku hauijui? We shangilia huku ushindi wa arsenal wakat kule city anasepa na ndoo klopp mwaka wa 4 huu hata kikombe cha kunywea juis hana achalia mbali livakuku kugusa kombe la epl
Sent from my iPhone using Tapatalk
Ulijifanya mchambuz uchwaraHii tactic ya Arsenal/Unai akiongoza anaacha timu pinzani icheze cheze lakini anakuwa ameshapata ushindi ni nzuri sana na Arsenane wanaiweza sana
Nakumbuka hata mechi ya Arsenal na Liverpool, ya Spurs na ile ya Rennes hii mbinu ilifanya kazi kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawadanganye wenzako huko eti hiyo ndio mbinu ya Unai akitangulia, mkishinda unakuja vistori vya uongo na kweliUlijifanya mchambuz uchwara
Cha moto ulikiona
Siku nyingine uwe na adabu, mpira hauchezwi jfView attachment 1042980
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanik kisaKawadanganye wenzako huko eti hiyo ndio mbinu ya Unai akitangulia, mkishinda unakuja vistori vya uongo na kweli
Na ya Rennes Arsenal si ilitangulia kuongoza, nini kilimkuta?
Unaleta uongo uongo humu jukwaani
Arsenane mkubwa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nijitundike mimi kwa matokeo yapiUmepanik kisa
Mgoli wa XHAKA
ENDELEA KUTEMA MAPOVU
Ikiwezekana jitundike kama mwenzako huyuView attachment 1043007
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazungumzia matokeo ya JanaDah nijitundike mimi kwa matokeo yapi
Wewe mwenyewe ulivyoshindiliwa 8-2 hukujitundika, mpaka leo upo au labda uniambie kama bado ulikuwa hujazaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana ulileta porojo sana ,kelele kibaoDah nijitundike mimi kwa matokeo yapi
Wewe mwenyewe ulivyoshindiliwa 8-2 hukujitundika, mpaka leo upo au labda uniambie kama bado ulikuwa hujazaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app