Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yaani Gerrard kaisha aisee. Vibabu vyetu vinatawala dimba namna hii!!
 
Liver ndo Kwisha kabisa.....!!!! Wameshapotea hii game....
 
Duh!!! Na Boooo zote hizo lakini at last Kafunga!!! SUAREZZZZZZZZZZZZ!!!!!
 
Changes labda defence iwe more strong valencia arudi nyuma aingizwe park
 
refa wa leo anajitahidi
si unaona wapinzani wameanza kujikongoja?

Akiwa fair zaidi mmeumia
labda muwe angalau 11.5

Duh! Mbona ref yupo fair sana?
Au unamaanisha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…