Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Japo sijaangalia game lote kwa dakika nilizoona nadhani mechi ya leo ina mengi ya kujifunza sana,kuna comb zinakataa kabisa hawatakiwi kukaa pamoja .Tumepata nafasi kubwa za kutosha lakinI tulishindwa kuzibadili kuwa magoli. (so sad)
Game imeisha, naamini kocha amejifunza mengi, tujipange kwa game ijayo
GGMU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna rafiki alisema hiviIla man u fans tupunguze overconfidence, tusiwazarau arsenal kiasi hicho,
Anyway GGMU
Sent using simu mbovu
Write your reply...
oya wajameni mbona hatupeani update za matokeo,nasikia mtaalam de gea ana-save sana
Haya bana leo ni siku yenu.Kelele tu ndio mnajua, mpira bado nyie
Chance nyingi sana hata kabla ya goli la kwanza... But naamini kapata cha kujifunza leoGGMU tunashinda pamoja , tunapoteza pamoja
Kilichotupata leo ni kitu cha kawaida, wengi tulizungumza kuhusu matatizo ya fred kuanza, na nafkiri tumeona alivyo perfom poor kipind cha kwanza na alivyohusika directly kwenye goli la pili.
Tusimlaum kocha kwasababu wote hatujui fittnes level ya mctominay.
Tumejitahid kucheza vizur na tumetengeneza nafasi nyingi kabla ya arsenal kupata goli la pili, ambazo tumeshindwa kuzitumia.
Najua kocha ameona mapungufu na naamini atajitahidi ku bounce back .
GGMU together
Sent using Jamii Forums mobile app
Vip mkuu imekuaje leo Denyea akagawa uroda vile?? Nini kimemkutaPredicted Line-upsView attachment 1042182
Obvious its fred and pogbaJapo sijaangalia game lote kwa dakika nilizoona nadhani mechi ya leo ina mengi ya kujifunza sana,kuna comb zinakataa kabisa hawatakiwi kukaa pamoja .
Sent using Jamii Forums mobile app
HuuuuuuuuuFred atoke tuu. 2nd half asiingie kabsa
Pogba-matic-fred very poor one.... Pia nimeona kauvivu flan leo sjui kametoka wap... Pia rash selfishness na kutojituma sana as back days...Japo sijaangalia game lote kwa dakika nilizoona nadhani mechi ya leo ina mengi ya kujifunza sana,kuna comb zinakataa kabisa hawatakiwi kukaa pamoja .
Sent using Jamii Forums mobile app