Ingia kwanza hiyo robo final kwanza ndo uanze kuota hizo ndoto zakoMara paaap manure anadondoka mikononi mwa barca, itakua ni kudumbukiza tu kama rede.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia kwanza hiyo robo final kwanza ndo uanze kuota hizo ndoto zako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe lazima ni shabiki wa real
pia, wacha kufumba macho ili usisikie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu Lukaku waulize PSGHiyo ndio ilikua manure angalau ina watu, saivi kuna vichekesho vya kina Lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnaongelea kwa hisia mpira unachezwa uwanjani sio huku jf hiyo timu yako ina makombe mangap ya uefa? Waliokuwa wakimtoa ni wakina nani?
Is it Possible?View attachment 1041130
Kuhusu Lukaku waulize PSG
Halafu, barca ya leo imejichokea sana, na mimi ninaomba usiku na mchana tupangwe na Barca maana kombe tunaloshiriki lina uzito huo
Nikiogopa kupangwa na Barca inabidi nikubali kupangwa na Rennes au Dinamo Kyev kitu ambacho ni kituko kwa timu kama United
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui unazungumzia uchafu gani ktk orodha ya timu zilizotwaa ndoo kibao yupo Ac milan na madrid sasa jiulize hiyo takataka yako kabla ya mes ilikuwa wapi?
Wewe dondokea tu mikononi mwa ngu uone ninavyo kuchimba choo mchana kweupe, unapiga kelele humu wenzio wanaweka Messi wewe unaweka Lukaku, wanasimika Arthur wewe Herrera, wanaweka Vidal unaweka Matic, wanaweka Dembele/Coutinho unaweka ka Jesse/Rashford. Yani ntacheza nawewe kama nacheza na Celtic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe dondokea tu mikononi mwa ngu uone ninavyo kuchimba choo mchana kweupe, unapiga kelele humu wenzio wanaweka Messi wewe unaweka Lukaku, wanasimika Arthur wewe Herrera, wanaweka Vidal unaweka Matic, wanaweka Dembele/Coutinho unaweka ka Jesse/Rashford. Yani ntacheza nawewe kama nacheza na Celtic.
Sent using Jamii Forums mobile app
Madrid alipolipiga mara 3 mfululizo hilo genge lako la wahuni lilikuwa linacheza europa?
View attachment 1041340
Yule ndio mpinzani wangu sasa na hua naingia uwanjani nina uhakika wa kumtwanga, wewe muhuni unae pambana na wakina Brighton wanakutwanga unategemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hayo matakataka unayotaja yalifumuliwa malinda na As Roma chuma 4 vidal hana jipya zaid ya kiduku coutinho flop labda mess hizo zingine takataka
Hahahah mimi naweka Dembele unaweka ka Lingard, naweka Linglet unaweka ka Lindelof. Manure nakutamani sana hakyanani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we kiazi real betis kamtia barcelona chuma 5 sio level ya brighton yule?
Kaka yako nimemtwanga 3_0 juzi kati, wewe mnyonge unadhani ntakupimia ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule psg aliekufunga chuma 4 -0 mimi nimempiga chuma 3-1 kwa moja palepale kwake sijui unazungumziaje hapo? Tena nikiwa na timu b
Alipo shinda 4 nikamgaragaza 6, sasa wewe katim ka hovyo unategemea nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1041345
Na hiyo timu ya hovyo ukiwa hapo hapo
Kifupi barcelona huwasiwafikirii kabisa maana ni timu ya mtu mmoja kilichobak na wanaweza kwa sasa kumfunga madrid tu