Nilimsikia kwenye interview baada ya southampton,aliongea kwa loyality na passion kubwa sana.Mkuu dogo yupo vizur sana ujue tuna madogo wengi sana kwenye timu yetu huyo ana 19 tu akipewa timu solskjaer tunanafasi ya kuja kuamka maana namuona anajikita ktk damu changa nawaza lindelof afikishe miaka 26 au 27 itakuwaje maana kana 23 tu
Phelan ana mchango mkubwa sana kwenye mabadiliko yanayoendelea pale United
Pia Michael, na Mc Kena na Dempsey
Angalia game zinapokuwa zinaendelea utaona Ole mara kwa mara anaongea na wote au mmoja wao
Lakini kama timu ikifanya vibaya huwa hatuwataji saaaana hao wengine (japo inabidi tuwape sifa zao) huwa tunamponda sana meneja
Hivyo sio zambi hata kwenye mafanikio tukimsifia zaidi meneja
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Martial na Bolingoli ndiyo watakaoimaliza Arsenal. Kesho ni siku ya Furaha tena maana game ya PSG imeleta kujiamini sana hata Fred anajiamini sasa.Injury Concern kuelekea game ya Arsenal
Bailly is okay/fit to play
Herrera and Matic one/both of them can play on sunday
Martial is back/fit to play
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimfunga Arsenal nitatembea na boksa tu kuanzia njiro hadi kijenge juu..
Pale na uhakika labda utaambulia draw tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ab ah ah,kwa mana hio,hapo hawapo getoni kwa etooKombe ambalo Arsenal hajawahi beba
Hao Barca ndio tunawatakaMara paaap manure anadondoka mikononi mwa barca, itakua ni kudumbukiza tu kama rede.
Sent using Jamii Forums mobile app
2008 wakiwa na Messi kijana tuliwatoa sembuse sasa hiviMara paaap manure anadondoka mikononi mwa barca, itakua ni kudumbukiza tu kama rede.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara paaap manure anadondoka mikononi mwa barca, itakua ni kudumbukiza tu kama rede.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Barca ndio tunawataka
It is funny though, siku 5 zilizopita wazo la Man Utd kukutana na Barca halikuwepo kabisa kichwani kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks mkuu, nimekusoma.Wachezaji huwa wanatengeneza replica ya makombe waliyochukua ili kuweka kama kumbukumbu au urembo majumbani kwao au kwny museam
Kwani mara zote barcelona katolewa na timu zenye level kama yake? Halafu mbona siku hizi hamna timu pale zaidi ya mess?