Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Lukaku yupo kwenye form sana. Nimefuatilia hizi match za tatu za mwisho, vyombo vya habari vya Uingereza havimpi pongezi anazostahili. Kind of racism hivi.
Hata huku bongo mkuu, sio uingereza tu

Tena afadhali hata uingereza wanamsifu sifu, mfano wanasema sasa hivi EPL ana idadi ya magoli kama Sterling na Hazard hivyo hatakiwi kubezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea point kubwa sana. Kugusa mpira mara moja ukazaa goli ni bora kuliko kugusa mpira mara 120 (kama Fred) bila goli. BIG UP, NIMEKUELEWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuu

Ila Fred naye kakaza

Kucheza na PSG, mchezaji mmoja tu katika timu akicheza hovyo lazima mfungwe kwani wana timu bora sana

Hivyo inaonekana wachezaji wote wamecheza kufa na kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fred ndo mchezaji pekee aliyekuwa anasambaza mipira kwa usahihi leo..kacheza vizuri sana..hopefull ataendelea kuzoea mazingira na kucheza vizuri
Pamoja mkuu

Ila Fred naye kakaza

Kucheza na PSG, mchezaji mmoja tu katika timu akicheza hovyo lazima mfungwe kwani wana timu bora sana

Hivyo inaonekana wachezaji wote wamecheza kufa na kupona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati naenda kulala, nitakuwa mchoyo wa fadhila sana nisipowapongeza hawa watu

Degea

Smalling (amemdhibiti Mbape)

Lindelof (pembeni ya smalling)

Tominay (Verati kashindwa kutoa key passes)

Lukaku (amefunga magoli muhimu)

Rashy (goli la kutuvusha)

OGS, Michael, Mc Kena, Dempsey, Phelan, kocha wa makipa, Babu SAF

Hao niliowataja ninawashukuru kipekee.

Lakini the whole had a fantastic game.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PSG 1-3 Man Utd (agg 3-3): Rashford completes miracle as late penalty knocks PSG out
 
Mkuu hii sala ilisikika hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…