Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,016
- 51,531
VAR imewabebaa..
Hata hivyo ball to hand/hand to ball zimeondolewa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanae ndio alioga goli 3 hapo, najua hapo ulipo una hofu kuuNeyma utoto wake umeponza timu
Kocha kaja kukumbuka kama kuna kiumbe hajaingia dakika 95Cavan kipigo kajitakia
Sisi tunawasubiri jumapili,mje pale mnapopaita shamba la bibi japo bibi kafa(wenger) mtamkuta mwanae
Ha ha ha ***** nmecheka hii comment balaaMgeukie jirani yako, kisha mwangalie usoni mwambie “WEWE NI KIMPEMBE”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aha kwaiyo na nyie mumeweka historia sio..?Alifungwa hizo 3 darajani?!
Kwahiyo unabishana na wazungu wa UEFA?!
Kweli Karma ni mbaya sanaMgeukie jirani yako, kisha mwangalie usoni mwambie “WEWE NI KIMPEMBE”
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ule mzimu wa marefa kuwapendelea naona unarudi kwa kazi sana..Kafute penalt basi.
Var inachofanya ni ku replay tukio katika angle zote. Nothing else
Kama refa kaamua hivyo.. nn tatizo. Hujaridhika peleka mashtaka fifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanini huwa unaponda wachezaji wa timu yako, tena sio wabovu ...... Wanafanya vizuri tuMkuu achana na Dalot ni mpira mmoja tu uliosababisha penalt kapiga wa maana dakika zote 55 alizocheza. Man of the Match ukiachana na Lukaku ni yule yule Tominay amewavuruga sana pale kati.
Sent using Jamii Forums mobile app