Hao waliotajwa na hawa niliowataja wote walikuwa na potential ya kuwa ma superstars
Lakini kuna baadhi (kundi la kwanza) wameweza kuwa ma superstar lakini wengine wameishia kubaki wachezaji wa kawaida
Kimsingi nilitaka kuonesha hata hao akina CR7 kuna kazi imefanyika pale united ndio maana wakaja kuwa world class players.
Kwa hiyo united anapaswa kupewa credit, kwani vinginevyo wangeweza kuishia kuwa kama Bebe
Sent using
Jamii Forums mobile app