Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Young na Baily ni kama wachezaji ambao wamekutana tu uwanjani.. hawaelewani kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MAN U wabadilishe mfumo wa Mchezo wao, wanakaribisha sana mashambulizi GOLINI kwao.

Watamchosha DEGEA
 

Yani Fred ni mzito mwili mpaka akili.
Sijui anataka nafasi gani ya kuonyesha uwezo wake,au alisajiliwa kwa kitazama highlights?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…