Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
Sasa kma analipwa huo mshahara mkubwa kuliko Harzad na Salah Si atulie anataka mwingine wa nini..? Au anaona wivu Sanchez Bench Warmer anapigwa li paund laki tano uko na yeye anapambana na mishuti ya haja kila Siku golini anataka apewe huo mshahara..!!
Hivi unadhani mgt itakubali? na kama man u wakikubali basi watafungua njia kwa wengine kutaka mishahar minono zaid..
Kwa iyo ni bora asepe tu mtafute kipa mwingine..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah....Makeeper wazuri wapo mkuu sema tu tumetokea kumpenda De gea na kwa kuwa yupo pale muda mrefu ila hzo tamaa zake mimi ndo zinanikera,Oblak wa Atletico minaona hawajatofautiana sana na De gea kwa uwezo au hata yule dogo wa Milan Donarumma ni mdgo lakin tayari ni World class kwa mtizamo wangu!
Ushasema babu
Usimfananishe Oblack na vitu vya kijinga mkuu..kwa sasa kipa bora anayeongoza ni yeye..Makeeper wazuri wapo mkuu sema tu tumetokea kumpenda De gea na kwa kuwa yupo pale muda mrefu ila hzo tamaa zake mimi ndo zinanikera,Oblak wa Atletico minaona hawajatofautiana sana na De gea kwa uwezo au hata yule dogo wa Milan Donarumma ni mdgo lakin tayari ni World class kwa mtizamo wangu!
inaonekana habari za michezo unafatilia hapa jf tu bila shaka
Kadiri umri wa kipa unavyozidi kwenda ndo anazidi kuwa bora zaidi ..ingawa inaeza kuwa michache De gea anaeza kuwa future ya PSG kama wakimpata..Ushasema babu
Jiongeze na wewe, sio kila kitu unabisha tu
Kama babu, unadhani atakuwa na misimu mingapi pale Paris?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah....
Namimi ninaamini bado tuna option nje ya club
Ila Ed anapaswa ajifunze hapa. Kwa wachezaji wetu bora inabidi mazungumzo yaanze mapema, hata miaka 2 kabla ya mkataba ku expire ili hata mchezaji akizingua auzwe kwa bei nzuri
Kwa sasa hatuweza kumuuza kwa thamani ambayo ni thamani yake halisi
Degea naye anakosa fadhila hapa, hakumbuki SAF alikuwa ana option ya kumnunua Nuer lakini akamuamini Degea. Pia Degea alianza vibaya sana pale United lakini timu ilimvumilia
Halafu hoja ya kutaka mshahara flani kwa sababu flani analipwa huo mshahara ni hoja mfu sana
Nadhani Ed anaogopa kumuuza sababu ya soko kuchafuka, maana ili kupata kipa mzuri sokoni kwa sasa inabidi uteme zaidi ya £70 million
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa comment hii, inaonyesha kabisa hujui timu aliyopo Buffon kwa sasa.
Suala ni nan bora kati ya KDB na uyo PP
Apa ni sawa na kusema Hammer na Chevrolet lip gari lenye uwezo ..mimi nitakuambia Chevrolet..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumrithi kivp?
Labda sijaelewa hivi hao ni watoto wake?
Sent using simu mbovu
City owner wana misheni ya kuchukua Champions League na wanaamini Pep atawaletea ndio maana kila atakachotaka watampaKwenye press conference ya Pep jana amesema city inahitaji wachezaji 4 au 3 ukiangalua form yao na uwezo wao sijui sisi tutafanya nini tusiposajili
Sent using Jamii Forums mobile app
Fred ana safari fupi United... Kama anakosa nafasi kwa hawa madogo , sjui Msimu ujao kama atabaki.
Fred ana safari fupi United... Kama anakosa nafasi kwa hawa madogo , sjui Msimu ujao kama atabaki.
KabisaMimi nmeshapoteza imani na uwezo wake pale tumepigwa hela tu
Fred na Sanchez wana wenge kama alilokuwanalo linderofFred ana safari fupi United... Kama anakosa nafasi kwa hawa madogo , sjui Msimu ujao kama atabaki.