GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,381
Asepe tuu kama anataka kuondokaKosa kubwa United itakalofanya ni kumpa DeGea hela ndogo.
Ataona hathaminiwi na ataondoka United.
Wampe hizo hela anazotaka acheze kwa moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashapewa jones , five years."We want to attract good players that want to improve the players we have here: Paul Pogba, David de Gea, Anthony Martial and Marcus Rashford.
"All these top players we have - they need players to challenge them because no one should feel 100 per cent secure to be in the starting XI.
Haya ndo mawazo ya kocha anaetakiwa kuifundisha hii timu sio kugawa mikataba kwa kina fellain na valencia
Safi Ole Gunna Solskajaer
sio msimu huu tu na misimu mingi nyuma amebeba timu na kuweka mabegani kwake.Havikuumi mkuu lakini vina mahusiano na hizo points 3 utazozitaka
Mfano Degea akiondoka kwa kutaka mshahara unaolingana na wa Sanchez, je huoni kama tutakuwa tumepoteza lulu kiasi gani?
Unafahamu degea msimu huu ametupatia points 3 ngapi? Na bila hilo leo tungekuwa wapi kwenye ligi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unadhani Sanchez bench warmer anastaili kulipwa pesa nyingi vile wakati kipa anayeibeba time mabegani kwake analipwa hela ya chai tu? Kwa uwezo alionano De Gea alipaswa awe kipa ghali zaidi kwa sasa ..lakin ndo kipa mwenye mshahara unaolingana na kipa wa westham au Watford uko..
Kwa hili me naunga mkono kabisa ..kma De Gea asipoongezewa donge mono asisaini mkataba ni asepe zake bure..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupo pamoja mkuu,sio msimu huu tu na misimu mingi nyuma amebeba timu na kuweka mabegani kwake.
je akiondoka De Gea hatupata points tatu?? kisa tu yeye hayupo?? De Gea hayupo Man city, Barca wala PSG je hao hawapati points?? De Gea yupo United je United haifungwi yeye akiwa kwenye milingoti mitatu.
by the way napenda sanaa challenges zako hapa jukwaani.
sikupingi na ulivyosema hapo juu ila mimi nataka mchezaji anaedeliver.
ova
Spurs anatakiwa kushinda au kudraw leo.ampunguzie arsenal speed.Mzee utamu wa top 4 inatakiwa uwe wa nafasi mbili za kugombaniwa(spurs,man utd,chelsea na asernal)
Binafsi sitaki spurs awe safe nataka chance iwe kubwa kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala ni nan bora kati ya KDB na uyo PPKwa io izo mechi alizicheza akiwa majeruhi??
Sent from my iPhone using JamiiForums
naomba nikusahihishe hapo kwa De GeaHivi unadhani Sanchez bench warmer anastaili kulipwa pesa nyingi vile wakati kipa anayeibeba time mabegani kwake analipwa hela ya chai tu? Kwa uwezo alionano De Gea alipaswa awe kipa ghali zaidi kwa sasa ..lakin ndo kipa mwenye mshahara unaolingana na kipa wa westham au Watford uko..
Kwa hili me naunga mkono kabisa ..kma De Gea asipoongezewa donge mono asisaini mkataba ni asepe zake bure..
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani inabidi tuache masihara kabisa..Hii mechi yetu na Southampton ni muhimu sana tushinde aisee yaani sahv hakuna nafasi ya kufanya makosa ukizingua tu unapigwa gap,nahisi hii London Derby itaisha draw..
Harzard na De Gea wanacheza nafasi tofauti ..nafasi ya De Gea ni muhimu zaid pengin kuliko hata ya Hazard..Kwa mshahara wa Sanchez United walifanya makosa
Lakini unaposema degea analipwa mshahara sawa na makiwa wa Watford au Westham unataka kuchangamsha tu jukwaa
Labda kama unamaanisha timu nzima ya Watford na Westham
Degea kwa sasa analipwa 270k a week, probably anamzidi Hazard wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisepa De gea wewe ndo utakaa Golini au!! Usiseme kirahisi ivyo ..sasa kumpata Kipa na yeye ni kazi kubwa sana..Asepe tuu kama anataka kuondoka
Sent using simu mbovu
Degea haondoki kwasababu hataki kuondokaAkisepa De gea wewe ndo utakaa Golini au!! Usiseme kirahisi ivyo ..sasa kumpata Kipa na yeye ni kazi kubwa sana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ni sawa kabisa ..kwa jinsi anavyosave ni hali yake Kutaka kulipwa zaidi ..sasa kaa Sanchez anaingiza paund laka tano uko, je ana goli ngap? ana assists ngap? Pass accuracy je?Hahaha...ww De gea hapo alipo anakula almost paund 200,000 kwa week hakuna keeper anaekula hyo hela pale PL na nadhani hata duniani ss yeye anatka paund 300,000 na ushee, yaani itakuwa ni record ya Dunia kwa Keeper kulipwa hela hyo.
Hataki kuondoka maana hakuna timu itakayomtaka kwa sasa..Degea haondoki kwasababu hataki kuondoka
Sent using simu mbovu
Najaribu kujiuliza je, hamna option nyingine nje ya club mfano Jordan Pickford, Oblack, au hata ndani ya club mfano Romero na Henderson (kama sikosei anaitwa hivyo) ambaye yupo nje kwa mkopo na Juventus wanamnyapia?
Tatizo la kukubali kila takwa la mchezaji mkubwa ni kutengeneza misingi kwa wachezaji wengine siku za mbele. Wachezaji watakuwa wanataka hela ndefu kupita uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha masihara kwa hiyo ,unataka kuniambia tukisema tunamuuza summer, hakuna team itakayoleta offer.
Sasa kma analipwa huo mshahara mkubwa kuliko Harzad na Salah Si atulie anataka mwingine wa nini..? Au anaona wivu Sanchez Bench Warmer anapigwa li paund laki tano uko na yeye anapambana na mishuti ya haja kila Siku golini anataka apewe huo mshahara..!!naomba nikusahihishe hapo kwa De Gea
De Gea ndo kipa anaelipwa mshahara mkubwa zaidi duniani kuliko kipa yeyote yule
De Gea analipwa mshahara mkubwa kuliko mchezaji yeyote wa Arsenal ukiondoa Ozil
De Gea analipwa sawa na Salah na Hazard ukiondoa hao hakuna mchezaji mwingine wa timu hizo anaemfikia De Gea
usirudie tena kumfanisha na hizo takataka za Everton sijui Westham
Apo juu mdau kasema PSG na Juve wanamtaka sasa inaweza ikawa ni tetesi tu ..ila pengine anaeza pata timu lakini isiwe kubwa kama Man united..Acha masihara kwa hiyo ,unataka kuniambia tukisema tunamuuza summer, hakuna team itakayoleta offer.
Sent using simu mbovu