Spurs zitakuwa 2. Arsenal itakuwa 1.Kesho Asernal akimpiga spurs,na Utd akampiga southampton tofauti ya points itakua ni 2 Utd kuwafikia Asernal na spurs.Hivyo UTD akimpga Asernal tutakua na uhakika wa top 3.Mambo mengine yakiwa costant
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni city tu mi naona hao wengine tunawamudu vizuri tu na pia ndio hamasa yetu kuwafunga maana tunapata 6point kwa mechi moja tukimfunga mmoja wao(3 point za kupanda top 4 na 3point za kumshusha mtu top 4)Spurs zitakuwa 2. Arsenal itakuwa 1.
Tatizo Man U bado kucheza na Man City, Arsenal na Chelsea.
Zingatia majeruhi.
Sent from my SM-G900T using JamiiForums mobile app
Huwa unarudiaga hivi hivi halafu baadae unapotea kusipojulikanaChelsea hafungwi Mara mbili na timu moja hata ..narudia tena hafungwi Mara mbili..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho Asernal akimpiga spurs,na Utd akampiga southampton tofauti ya points itakua ni 2 Utd kuwafikia Asernal na spurs.Hivyo UTD akimpga Asernal tutakua na uhakika wa top 3.Mambo mengine yakiwa costant
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee utamu wa top 4 inatakiwa uwe wa nafasi mbili za kugombaniwa(spurs,man utd,chelsea na asernal)Usisahau bado tuna Chelsea na Mancity wakati Arsenal akimalizana na Spurs na ss amemaliza mechi zake kubwa! kwa mtizamo wangu mm naona bora Arsenal afungwe na Spurs au Mechi iishe Draw,coz Spurs bdo hajamalizana na City pamoja na Liverpool.
HujaelewaHahahaha mpira ungekuwa mrahisi hivi mungekuwa mabingwa miaka yotee..
Yani unajipa uwakika kabisa kwa Arsenal na Chelsea una point sita hahahahaha
Hongera sana mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo zimehesabiwa mechi walizocheza, kwa hiyo majeruhi au kutokucheza ni irrelevant hapo
Pogba aliekwa bench kwa sababu alitofautiana na Mourihno ..Hapo zimehesabiwa mechi walizocheza, kwa hiyo majeruhi au kutokucheza ni irrelevant hapo
Kwani Pogba naye si kuna kipindi alikuwa anakula benchi (enzi ya Jose)?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kujiuliza je, hamna option nyingine nje ya club mfano Jordan Pickford, Oblack, au hata ndani ya club mfano Romero na Henderson (kama sikosei anaitwa hivyo) ambaye yupo nje kwa mkopo na Juventus wanamnyapia?Kosa kubwa United itakalofanya ni kumpa DeGea hela ndogo.
Ataona hathaminiwi na ataondoka United.
Wampe hizo hela anazotaka acheze kwa moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo Chelsea ni timu ya kawaida kama ulivyoandika, Unaeza poteza gemu zote na usipate hizo points unazotaka ..wewe kunifunga fa sio kwamba na ligi itakuwa nyepesi tu ..tarajia hali ya hewa kuchafuka apo OT..Hujaelewa
Ninaposema ni 6 pointer, ninamaanisha kwamba tukimfunga Chelsea ni sawa na kupata points 6 kwakuwa tunakuwa tumepata points 3 na Chelsea (ambaye tunagombania naye nafasi ya top 4)anakuwa amepoteza 3. Kwa hiyo ni kama points 6 kwetu. Vivyo hivyo na kwa Arsenal.
Lakini pia hujakosea, nina % kubwa ya kuchukua points 6 kwenu kwani nyie ni timu za kawaida sana
Kati ya timu zilizobaki, City tu ndio anatuumiza kichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe, bora Arsenal afungwe na Spurs,Usisahau bado tuna Chelsea na Mancity wakati Arsenal akimalizana na Spurs na ss amemaliza mechi zake kubwa! kwa mtizamo wangu mm naona bora Arsenal afungwe na Spurs au Mechi iishe Draw,coz Spurs bdo hajamalizana na City pamoja na Liverpool.
Hivi unadhani Sanchez bench warmer anastaili kulipwa pesa nyingi vile wakati kipa anayeibeba time mabegani kwake analipwa hela ya chai tu? Kwa uwezo alionano De Gea alipaswa awe kipa ghali zaidi kwa sasa ..lakin ndo kipa mwenye mshahara unaolingana na kipa wa westham au Watford uko..Najaribu kujiuliza je, hamna option nyingine nje ya club mfano Jordan Pickford, Oblack, au hata ndani ya club mfano Romero na Henderson (kama sikosei anaitwa hivyo) ambaye yupo nje kwa mkopo na Juventus wanamnyapia?
Tatizo la kukubali kila takwa la mchezaji mkubwa ni kutengeneza misingi kwa wachezaji wengine siku za mbele. Wachezaji watakuwa wanataka hela ndefu kupita uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Havikuumi mkuu lakini vina mahusiano na hizo points 3 utazozitakahizi habara za mishahara au manunuzi ya mchezaji kusema ukweli mimi hata haviniumi na wala sijali either mchezaji awe analipwa pesa nyingi au kidogo nnachotaka kuona mimi kila mechi tunapata points 3
Kumrithi kivp?
Kwa mshahara wa Sanchez United walifanya makosaHivi unadhani Sanchez bench warmer anastaili kulipwa pesa nyingi vile wakati kipa anayeibeba time mabegani kwake analipwa hela ya chai tu? Kwa uwezo alionano De Gea alipaswa awe kipa ghali zaidi kwa sasa ..lakin ndo kipa mwenye mshahara unaolingana na kipa wa westham au Watford uko..
Kwa hili me naunga mkono kabisa ..kma De Gea asipoongezewa donge mono asisaini mkataba ni asepe zake bure..
Sent using Jamii Forums mobile app