Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Man u kwasasa mmerejea falsafa yenu counter attack
Mmezurula kwa makocha wenye falsafa tofaut na man u, naona Ole karudisha ile falsafa ya fergie
Mpen mkataba sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima tumpe mkataba huyu, akiachwa lazima kuna timu kubwa itamchukua. Ameshajijengea jina tayari. The next GuardiolaMan u kwasasa mmerejea falsafa yenu counter attack
Mmezurula kwa makocha wenye falsafa tofaut na man u, naona Ole karudisha ile falsafa ya fergie
Mpen mkataba sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
No, nimemaanisha in terms of succession. Guardiola from a Barça player to a coach, so as OleSubiri kwanza mkuu, umesema "the next Guardiola", acha hizo bana.
Mnampa kocha pressure,
Halafu pia hawezi kuwa kama Guardiola.
Sent using simu mbovu
Wanaume wko wapi?Unajisikiaje sahivi?
Acha kuandika mambo ya kishoga kwenye page za wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kusema huo ndio ushindi mkubwa aliowaachia mzee wenga kwa miaka ya hivi karibuni baada ya kushindwa kutwaa matajiAnavyocheza Mkhitaryan sasa hv nahisi Manchester united wakimuangalia Sanchez wanamuona #Dudubaya kavaa jezi no.7
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Kuna ile deal aliyo wauzia Chelsea Oliver girud kwa 12+million pounds wakati wakiwa wamefukuza coasta Diego, na wana Morata mwenye frequency ya kufunga kuliko GirudNaweza kusema huo ndio ushindi mkubwa aliowaachia mzee wenga kwa miaka ya hivi karibuni baada ya kushindwa kutwaa mataji
Wenga alilenga kwenye deals hizoPia Kuna ile deal aliyo wauzia Chelsea Oliver girud kwa 12+million pounds wakati wakiwa wamefukuza coasta Diego, na wana Morata mwenye frequency ya kufunga kuliko Girud
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri kwanza mkuu, umesema "the next Guardiola", acha hizo bana.
Mnampa kocha pressure,
Halafu pia hawezi kuwa kama Guardiola.
Sent using simu mbovu
Subiri kwanza mkuu, umesema "the next Guardiola", acha hizo bana.
Mnampa kocha pressure,
Halafu pia hawezi kuwa kama Guardiola.
Sent using simu mbovu
Hata mimi km vile hilo naliona.Nina imani na solskjaer ktk mechi ya psg tunashinda bila ubishi na mapengo yetu
Angekuwepo Pogba ningekuwa nina feelings kama zakoNina imani na solskjaer ktk mechi ya psg tunashinda bila ubishi na mapengo yetu
Ahaha mkuu kumbe umeona pia....em tufanunulie kundani unampaje nguvu ule mtindo wake wa celebrationNatamani Ingewezekana game ya PSG tumchukue Aguero kwa loan ya one week
huyu mtu sijui anapepo la game kubwa ama vip?
ile celebration yake inampa nguvu!
OkNo, nimemaanisha in terms of succession. Guardiola from a Barça player to a coach, so as Ole
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiangalia rekodi yetu ya away, nashawishika kukubaliana na wewe.Nina imani na solskjaer ktk mechi ya psg tunashinda bila ubishi na mapengo yetu