Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 697
- 928
kwamba point 60 na 55 ni mbali ambapo hatuwez fika?? alafu mechi ijayo ni Spurs vs Arsenal??? umepiga hesabu gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ngumu hapo Manchester city.. Chelsea mara ya mwsho anashinda OT ni miaka sita nyuma... Arsenal popote analiwa tu, Manchester city ndio pagumu.. lkn pia, Arsenal na Chelsea wanakufa kwa club yeyoteNilikuwa bado sijacheki table wakti huo, sema nafikiria hata ss tunamechi ngumu na Chelsea,City na Arsenal na Wolves tunacheza nao mara mbili FA na PL hizo mechi sio rahisi kbsa!
Anaujua sana chalii
Tatizo mnaishi kwa kukariri.Mechi ngumu hapo Manchester city.. Chelsea mara ya mwsho anashinda OT ni miaka sita nyuma... Arsenal popote analiwa tu, Manchester city ndio pagumu.. lkn pia, Arsenal na Chelsea wanakufa kwa club yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati wewe utakuwa wapi?Hiyo ndio siku tunakuhakikishia ushiriki wako wa europa.
Yeyote atakayekatiza mbele ya Chelsea kwa sasa ni khalali yetu..
Itabidi iwe hivyo sasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii slogan ya kila mtu ashinde mechi zake ina maana kubwa sana katika kipindi hiki kigumuHii vita ya Top 4 imekua mahali patam sana saiv. Nafas ya 1 na 2 tunawaachia liverpool na city. Ila 3 na 4 patawaka moto
Kasahau kuwa ijumaa TU tot walikuwa 9points mbele Leo zimebaki 5..................Point 5 akifungwa mechi moja na droo moja tunamkuta
Kabisa mkuu city ndo wagumu waliobakia ila arsenal na Chelsea ni kama tunacheza na Cardiff tuMechi ngumu hapo Manchester city.. Chelsea mara ya mwsho anashinda OT ni miaka sita nyuma... Arsenal popote analiwa tu, Manchester city ndio pagumu.. lkn pia, Arsenal na Chelsea wanakufa kwa club yeyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we jamaa kila nikisoma comments zako naishia kucheka tu, maana unavyojuaga kujipiga BAN mambo yakienda tofauti, ni shida
Unajisikiaje sahivi?Mungu saidia zaha amvue chupi olejinga
Kama tumewafikia Chelsea na Arsenal na kuwapita tutawashindwa vipi hao? Zimebaki mechi 10. Point 30 za kupigania.Tote yuko mbali sana mkuu hatuwez mfikia
Sitashangaa mwisho wa msimu wanatoka top 4.Unajua tott ana mechi na liver na man city halafu zote away.
Btw ametuzidi pointi 5 tuu.
Sent using simu mbovu
Unajisikiaje sahivi?
Acha kuandika mambo ya kishoga kwenye page za wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakuambia kipimo ni kombe sasa.Ole hataki utani na kazi yake kikosi karibu chote majeruhi lakini tunapeta tu. Wale ndugu zangu mtuambie kipimo kingine timu gani au mmeishia hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app