Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,042
- 51,594
Pale kikosini hatuna beki, kiungo yupo pogba tu, mbele yupo rashford tu, golini hakun tatizo. Wengine woote hawapati namba everton. Kama unabisha mwulize Tom Cleverly yule midfielder maestro wetu wa 1st eleven tuliyeuza
Wachezaji wanachoka kaka, watataka motisha mpya
Who the fu.ck is this Tony Pulis??..Me hi hii tungeshinda asee...... Wale liva wepesi tu, mwalimu wetu alikosa mbinu. Tafuta mtu kama Tony Pulis pake atujengee timu ya nguvu
mbuminu ni kumtumia fred na kupata matokeo, sio kutumia madogo kupata draw.
Who the fu.ck is this Tony Pulis??..
Na kwa taarifa yako tu,Ole anapewa mkataba mrefu..
Mweshimuni Ole
kipimo cha Ole ni Manchester derby…
Waswahili wanapenda future judgementHahahaha mwisho wa siku mtasema kipimo ni mwezi wa 6
Kapita na
Spurs
Arsenal
Chelsea
Liverpool
Hamna kocha atakaefunga timu zote lazima kuna suluhu ktk big game na kupigwa
Had muda huu ole ole ole ole ole kafanya poa timu kapewa mwez wa 12 ana miez miwili tu kawakuta hao wanazijua timu zao vizur tu
Baadhi ya comment apo ni valid, lkn nina wasiwasi na uwezo wa Ole, naona kama ni mhamasishaji zaidi lkn kimbinu hakuna kitu........wacha tumpe muda
Ball control ball balance, kama anavyosema Mbwiga mbwiguke........Lukaku hata Watford hapati namba, ni kaliba ya benteke na andy carrol.
Bahati mbaya sana hata mbinu hujui au huelewi ni kitu gani, shida inaanzia hapoBaadhi ya comment apo ni valid, lkn nina wasiwasi na uwezo wa Ole, naona kama ni mhamasishaji zaidi lkn kimbinu hakuna kitu........wacha tumpe muda
mbuminu ni kumtumia fred na kupata matokeo, sio kutumia madogo kupata draw.
very true bro,, na zile injuries ndo zinampa marks kwamba anaweza kumudu mechi hata kama kikosi kikiwa kinashida,, angekua mourinho game kama ya jana angepaki basi kama loote afu liverpool wangekua wanashambulia tu ila jana hata liver walikua wanaogopa kupanda mbele mostly sec half ,,,angekua mou tungepigwa hata tano jana.Matokeo ya leo ni mazuri kwetu kutokana na situation (Majeruhi) na uzito wa mechi yenyewe hasa kwa liverpool wanaofukuzia ubingwa, leo tumechezesha watoto dhidi ya wapinzani wetu wakubwa na wenye kikosi kizuri lakin bado tumefanikiwa kuwa out-perform, coz kama nafasi sisi tumetengeneza nyingi zaidi yao na tulifanikiwa kuwazuia wameishia kupiga shuti moja tu on target mechi nzima!
Yaani De gea leo tungemuacha apumzike home tu..ningekuwa mshabiki wa Liverpool ningekuwa disappointed sana aisee, maana ni kama dharau,Salah na Mane hawajafanya chochote cha maana..sema kuna vitu vya kujifunza kwenye mechi hii.
1.Tunahitaji kufanya usajili wa maana coz tuko nyuma sana interms of player quality hasa kiungo hawa madogo pamoja na kujitahidi leo bado sio top quality inayohitajika pale OT kushindana na Top teams za Ulaya.
2.Tuna beki nzuri tu sema labda tuongeze jembe moja la maana (Koulibaly) na namba 3 mwingine kama Shaw akiumia.
3.Liverpool hana ubavu wa kubeba PL akichukua ni labda CITY afanye uzembe tu ila liverfools hawana chao pale.
4. Shaw leo kacheza vizuri sana mpka mwarabu ameonekana mchezaji wakawaida kabsa, kwa ufupi Shaw ndo man of the match.
5. Ole leo kadhihirisha kwamba uwezo wa kuimudu hii timu anao coz mechi ya leo ndo ilikuwa na changamoto kubwa kuliko hizo nyingine zote alizo ongoza timu,hvyo nahisi mpka sahiv tuanze kuamini kuwa atapewa timu mazima!
Babu fergie mwenyewe alikula 6 unawawekaje kama kipimo cha Ole? Mlisema tott akapigwa mkasema chelsea kapigwa arsenal kapigwa liver chupuchupu now mmehamia kwa city. Tufanye tu timu zote ni kipimo kwa Ole.kipimo cha Ole ni Manchester derby…
Me hi hii tungeshinda asee...... Wale liva wepesi tu, mwalimu wetu alikosa mbinu. Tafuta mtu kama Tony Pulis pake atujengee timu ya nguvu
Ama kweli uchawi Upo.kwani oke katika madrid? Oke mi simkubali, tupatiwe koch mwny uwezo wa kuwatrain wachezaji
Wanasema hana mbinu, lakini hawasemi mbinu ni nini.Ama kweli uchawi Upo.
MTU hajapoteza mechi hata moja ya EPL unasema humkubali !!!
Eeeeh mungu
Sent using Jamii Forums mobile app