Mpira umepoteza radha. Game ya leo inachezwa kwa umakini na tahadhari kubwa, mbali na baadhi ya wachezaji kupata majeruhi mbinu zilizotumika kwenye hii game zimeshindwa kuzaa matunda hasa kwa Man United, timu nzima, wachezaji mpaka benchi la ufundi wote wamefall. Nasikitika kuona kuku wenye mdondo wanashindwa kutufunga mapema, maana kipindi cha pili naamini mfumo wa kiuchezaji lazima ubadilike, lazima United tupate ushindi game ya leo la sivyo tutarudi kulekule mtaa wa 6.