Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzakeSijawahi kuona mechi kama hii tangu nianze kuifahamu Manchester United
Unataka kusema nn mbona kama hueleweki mkuu?Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Ni kweli, mechi kama hizi zinakuwa tactically zaidi, hivyo usijeshangaa mwisho wa mchezo Man Utd akashinda.Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Tuma salamu kwa watu watatuUkweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
I have seen a lot of Mourinho's United like this oneSijawahi kuona mechi kama hii tangu nianze kuifahamu Manchester United
Hii ni kweli kabisa inabidi wachezaji wacheze kwa kujilinda pia hawa vijana hawaangaliagi clip za Messi kama pale Lingard hakutakiwa kupunguza pale una chop kama Messi jana tu Messi kamchopia goli kipa wa sevilla maeneo yale yaleBig mistake kumuingiza Lingard kipindi cha kwanza wakati ni majeruhi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unajisemesha sana? Hebu ongea kama mwanaume uelewekeUkweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
This is what we call pragmatismI have seen a lot of Mourinho's United like this one
Even some of SAF 's United, notably the one with Barca at Wembley
Sent using Jamii Forums mobile app
We vp? Degea so mchezaji?Ukweli ni kuwa Man U hii ya Ole haikuwahi kucheza vizuri kila mechi wakicheza na wakubwa wenzake
Na Spurs De Gea ali okoa one against one 11
Na PSG mkafungwa
Leo pia mtafungwa
Na Chelsea hao wapo hovyo mno kwa sasa!
Ndio utofauti wa mchezaj wa bilioni 98 na mchezaji wa mia mbiliHii ni kweli kabisa inabidi wachezaji wacheze kwa kujilinda pia hawa vijana hawaangaliagi clip za Messi kama pale Lingard hakutakiwa kupunguza pale una chop kama Messi jana tu Messi kamchopia goli kipa wa sevilla maeneo yale yale